:A S new:Kwanza kabisa tunakupongeza kwa kuchaguliwa University of Dodoma :A S new:...Ufikapo dodoma mjini usafiri wa kutoka mjini kuelekea Chuo tar 12 (SHATO)utakuwepo wa bure,Kama unataka Tax...
Hongereni HELSB kwa kuendelea kutunyima mikopo sisi ambao tuliomba mwaka jana na kutunyima na tumekata rufaa pia rufaa zetu zikatupwa bila kutolewa maelezo. Tumejaribu mwaka huu tukiwa na attach...
Ndugu nimepata mkopo but dada angu kakosa kabisa naomba msaada jinsi kufanya appeal! na anatakiwa afanye lini kabla au baada ya kulipoti chuo na utaratibu unakuaje wa kufanya hiyo kitu!
mimi nimechaguliwa katika chuo cha usafirishaji/nit ambako katika maombi ya kila kozi waliweka priority mkopo lakini sijui kigezo gani wamekitumia kuninyima mkopo.msaaaada kwa hili wadau wangu.