JAMANI NAOMBA MNIANGALIZIE HESLB ME SIMU YANGU HAINA UWEZO INDEX NO:S0549/0217/2010 UNAWEZA KUNITUMIA KUPITIA NAMBA HII 0759824023;naomba xana wana jf mnisaidie ;
Nilisoma thread moja ya successful loan applcants na nataka kuuliza kuhusu hizo hela za mkopo ni tunazipata chuo pale pale ? kila mmoja ? au inakuaje wana JF
Kuna Kipindi katika kuperuzi peruzi kwangu nkakutana na hii site iitwayo MeetNawe Welcome , ilinibidi kuiangalia mara mbili mbili kuamini ni zao la vijana wa hapa hapa Tanzania. Pia nilishangaa...
Wanafunzi waliokuwa jkt waliambiwa watrudishiwa gharama zao za nauli walizotumia kwenda kwa kuangalia tiketi...matokeo yake hawajafuata tiketi wametoa kiasi pungufu na nauli aliyotumia...
Hiv ukipata sapu ama ukicarry g.p.a inapungua?? na hyo sapu na kucarry kunaweza kukasababisha usiajiliwe mapema ama usipate kazi kabisaaaaa! tuambizane wadau wa jf
Source: Intelijensia.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu heslb wanatarajia kutoa majina ya wanafunzi watakaopata mkopo kwa msimu wa masomo 2013/14.
Kinachosubiriwa ni TCU kuwasilisha...
Hand shake wakuu....
sijui ndio structure ya lifestile there at downtown universities, vijana with popular trends za mtoni hadi inatia mashaka....
i definately suggest that spanking at the...
Habar wan jf,,,hatimaye tcu wametoa majina ya wanafunzi waliokubaliwa maombi yao ya kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine na pia wanafunzi waliokataliwa maombi yao,,,,,p'se tembelea website yao...
bodi inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa wanafunz wote,pili zile pesa walizopewa na serikali walijikopesha wenyewe kwanza xo baada ya faida kupata ndo na nyinyi mnafata ndo maana...
Nmesoma tangazo lao kwa 1st year na wanaoendelea kuhusu malipo ya direct cost na tuition fee wamesema mwisho n tar 30 sept las ivyo hawataruhusiwa kufanya usajili tar 12 nngeomba kujua je hzo...
Najua utajiuliza y nimeishukuru JKT, nimeishukuru JKT kwasababu baada ya JKT kuona wanafunzi wanstahili kwenda chuo ikasema wanafunzi waandike barua na hapo ndipo udhaifu wetu ulipojitokeza, mpaka...
Wanajamii forums! Mie nimebahatika kumiliki kiescudo nomade toka mwaka 2010. Gari inachemsha sana hata ikiwa silensi pia gia hazijibadili. Naomba kwa wale tu mafundi wa gari za aina ya suzuki...
Naombeni msaada kwa yule anaye jua kuhusi majina walio chaguliwa kwenye 3rd round selection from Nacte |CAS .maana mimi sijui naombeni msaada wenu au kama alie ona
mdogo wangu amesoma( hgk) na amepangwa kusoma degree ya computer science,hiv inawezekana kubadili koz katika chuo hichohicho? maana hesabu ni tatizo kwake.
Niko mbali na dar so nashindwa kuchukua joining instruction kama wewe unayo soft copy(pdf file) naomba uni2mie kupitia e-mail yangu bernardbnmhagama@gmail.com au kupitia hii JF.