Majina ya waliopata mkopo yamepelekwa kwenye vyuo mbalimbali ambavyo vimewahi kufungua. Chuo cha Uongozi wa Kodi(Institute of Tax Admin) yamebandikwa kwenye notisi bosi.
Wizara ya elimu imesema kwamba inarudisha madarasa ya o-level kwenye shule zilizokuwa na a-level tupu lengo ni kuwapa nafasi watoto wa darasa la saba ambao wanaufaulu wa kati na ambao wamekosa...
Wana JF naombeni msaada ntawezaje kupata list C hadi K kwa LOAN APPLICANTS TO CORRECT NECESSARY INFORMATION IN THEIR LOAN APPLICATIONS kwa sababu kila nikifungua web ya HELSB napata list yenye...
Wadau naombeni msaada wenu,mimi nimesoma nje nchini Uingereza elimu yangu ya kuunga unga nikapata foundation degree in business management,ambapo ningekua na nguvu ya kuendelea kusoma kule ninge...
ndg zang nazan n wazma wa afya:me nmechaguliwa SAUT-MBEYA CAMPUS natokea Dar nmeambiwa kko pembeni ya mji wa mbeya xo ningependa kwa wale wanaojua hiyo sehem wanielekeze jinsi gani nitafka...
Nitangulize salamu zangu kwenu wanajamvi. Nimechaguliwa katika course ya barchelor of science in urban and region planing katika chuo cha ardhi . Nahitaji kufahamishwa kuhusiana na hii course hasa...
Naomben mnijuze baadh ya vitu ambavyo unatakiwa kwenda navyo kwa sasa kabla ya tar 12 oct na mambo mhm mnayokutana nayo huko natanguliza shukran kwenu wakuu
JAMAN aka wana jf kuna habar kwnye website ya jkt kuwa wanafunz wote wanatakiwa kwnda shule....habar inaendlea na inatakiwa udownload xo simu yang haina uwezo bhax anayeweza ku2fanyia msaada...
Naomba yeyote mwenye ujuzi wa software inayoitwa ORION DESKTOP inayotumika sna na ma-suppliyer ktk bussines anijuze kwa ufupi inavofanya kzi.:A S new::A S new::A S new:
Enzi nipo kidato cha 5 na 6 tulikuwa na mwalimu wa physics, mwalimu huyu alikuwa mweupe sana, maswali karibia yote alikuwa akisolve hafiki mwisho yanamshinda. Lakini alikuwa mtu wa vistory vingi...
Wadau JF, Naomba kujua taratibu za kuanzisha BABY CLASS/NURSERY SCHOOL(Lengo ni kuwafundisha watoto wadogo kuandika,kuimba,kusoma,kucheza na kukuza ufahamu wao,halikadhalika kuwalea watoto wadogo...
"nimalize depo nikamwone mama,we nimalize depo nikamwone baba,aiyayaya iya iyo mama x2...MWISHO WA MAFUNZO MUJIBU AWAMU YA PILI frm JUNE 24 TO SEP 27!!...tc me kuruta wa mungu [updated-boy]
jama nashindwa nifanye nini kwasababu nimeshachukua admission letter na wanahitaji tulipe asilimia 60 ya ada ambayo ni 1million na laki moja ivi..kiukweli familia yangu haimudi kunilipia hiyo pesa...
Nacte wameachia mzigo ilakwa wale wa 3rd round selection kama ukitaka kucheki fanya hivi,
www.nacte.com after that go to Nacte | Task Force for Accademic year 2013/2014. clik after that go to...
BARUA YANGU KWA RAIS.(Serious).Habari yako mheshimiwa Rais?Kwanza kabisa heshima yako,shikamoo na Pole sana na kazi zakulitumikia Taifa letu. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingiMatakapola, iliopo...
inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.