NAOMBA CLICK HIZI LINK TAFADHALI NAJITAHIDI KU UPLOAD KADIRI NTAKAVYOWEZA ILA USHAURI MNGESUBIRI BAADAE MAANA WEBSITE YA LOAN BOARD IKO CHINI MAANA WATUMIAJI WAMEZIDI KIPIMO KWA SASA..
UPDATE...
Mi nadhani ifike mahali watu watumie akili, mtu unakurupuka na kuanzisha thread yako ya ajabuajabu tu. Kwanini msitulie na kungoja hadi HESLB watoe wenyewe? Au mnataka tujue kwamba nyie ni...
jaman mbona hawa tcu mambo yao taratibu sana, tangu wametoa nafasi ya kuhama vyuo, mpaka leo hawajatoa majina,na vyuo vimesha funguliwa,hivi hawaoni kama wanawachelewesha wanafunzi masomo?mkopo...
wadau wa jf hasa kwa wale tunaomsubiria huyu bwana heslb kaeni mkao wa kula kwa mtonyo niliopewa na mdananda wa pande hizo anasema kesho mzigo watauweka hewani tho stay tuned by 2moro kuanzia saa nne.
habari wana jf..... leo bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeitisha mkutano na waandishi wa habari kwa taarifa zaidi usikose kufuatilia habari ya saa mbili usiku:source mdimu's blog
Nawasilisha
wana JF wale wenzangu na mimi tumuombe mungu kuhusu loan maana huyu jamaa ni kama kifo muda wowote atakuja na huondoka akiwa na sehem mbili wenye furaha na wenye majonzi tukazane kumuomba muumba...
nasema hivyo kwa sababu kuna mijitu ingine bana cjui inakurupuka. toeni taarifa sahihi kwa wakati sahihi. kuna watu wana presha zao huku. so fresh mnavyofanya
Kumekuwa na kasumba ya wa Tanzania kusema elimu ya nje ni rahisi kulingalisha ya TZ. Je ubora means ugumu?. Kwa kufungua mada ningependa kuongelea elimu ya Engineering. Navyofahamu mimi wezetu wa...
wana JF kuna ndugu yangu amechaguliwa bsc in geomatics ardhi university lakini amegundua kama pale EASTC bado wanapokea applicants wapya kwa degree ya official statistics so ameona kama ahamie...
Natumaini wazima wanajamii,
Naomba msaada kwa anyejua vyuo vya UK,Malaysia,USA au India ambavyo vinatoa scholarship kwa kozi za online.
Nashukuru kwa masaada wenu,mbarikiwe wote.
kwa wale 1st year wote napenda kuwatangazia mapind ya chuo kama ifuatavyo. course zitakazofundisha ni kama ifuatavyo 1:jins ya kutumia boom 2:kuepuka kudisco na kusapu 3: jins ya kumenej time 4...