habari wakuu napenda kuwataarifu kuwa join instruction kwa wanafunz waliochaguliwa I.F.M kuwa fomu za kujiunga na chuo hiko zinatoka officially jumatatu 09/09/2013
nawasilisha....
Habari wana jf?
Kama kuna mtu anajua kuhusu chuo cha unesi kiko mbagala chalambe naomba msaada wa kujua chochote kuhusu hicho chuo. Maana kuna mdogo wangu anapenda kujiunga nacho. Nazani...
Ninawakumbusha wanafunzii waliochaguliwa kujiunga na udsm wahakikishe wanabeba vyeti vyote muhimu vinavyohitajika vyeti hivyo tayari nimesha viainisha kwenye post ya jana.hakikisha...
leo nimepata joining instruction ya www.mzumbe.ac.tz na nimekuta kuna sehemu ya declaration kwa mwanafunzi,sehemu hiyo inauliza TAYARI UMEPITIA JKT?,UTAJE NAMBA YA JKT YA KWAKO NA NAMBA ,JINA LA...
Wale tulioomba hizo degree za muhimbili kwa diploma qualification hatujajua hatima yetu..website yao bado haina kitu, mwenye kujua atusaidie jamani, tunakufa kwa presha jamani!!!
:help:Samahani wakubwa hivi majibu ya diploma kwa wale waliofanya registration mwezi ulopita yashatoka??
manake naingia sana kwenye web yao lakini sina mwelekeo..shukran
Kuna habari nazisikia kwa watu kuwa eti wote waliochaguliwa kwenda degree level kwa kutumia diploma qualifications hawapewagi mkopo unless anaenda kusomea education.Nafahamu humu jukwaa lazima...
Habar wakuu naomba kufahamishwa juu ya uwezekano wa mtu aliyechaguliwa Bvm kwa matokeo ya diploma anaweza pata mkopo?mm nimechaguliwa kozi hiyo na wazazi wangu hawawezi kunisomesha private so...
Hii nayo ni usanii mtupu, jamaa wamebadilisha tu jina la "Advanced Diploma" kuwa "Higher Diploma", ati wanadai wamefuta kiwango hicho cha elimu! Usanii!
Stashahada za Juu zafutwa
na...
Suala vijana kwenda au kutokwenda jkt limekuwa tata kwa vijana wanaotegemea kujiunga elimu ya juu huku wakishindwa washike lipi kutokana na tamko lililotolewa na waziri wa ulinzi bungeni na...
BUNGEN!Naam kama ilvyoada,wazir mkuu muheshmiwa mizengo pinda muda c mrf amectsha bunge na kuzngumzia mamb meng,walosilha wameckia,USHAUR KWA WABUNGE,mnaporud majmbon hebu kbla hamjafanya hvyo...