Hapo mwanzo m2 mwenye degree alikua hadimu sana mtaani na ukisikia m2 anadegree unamuogopa but now dayz kimekua ni ki2 cha kawaida sana mtaani tena ndo vijana wanao ongoza kwa ufukara na vizinga...
JINA MARCO BONIPHACE HUYU MTU S1260/0027/2003,SIJUI NAMNA YA KUANGALIA SELECTION YA HUYU MTU NACTE JAMANI....NAOMBENI MNICHEKIE ALAFU MNIPE FEEDBACK TAFADHALI:help:
Congratulation from IFM.
You have been selected to join IFM for your Bachelor degree course. Registration will start on 16th September 2013 for privately sponsored students. For HESLB sponsored...
Wana ndugu mnijuze kuhusu hii course BACHELOR OF EDUCATION IN PSYCHOLOGY hapo udom na mwenye ufahamu nayo je ni nzuri na kazi zake ni zipi?
Karibuni tubadilishane maarifa
fungua website ya tcu fuata link, ingiza namba yako ya form four halaf jina la kwanza na la mwisho utaona selection yako. jina lisipotaka bac subiri baada ya mda kidogo ingiza tena utaona...
vijana mnaokuja moshi kuweni makini sana kwani mji huu kuna vibaka wengi sana ,ukija moshi usipende kutembea usiku peke yako unaweza ukakabwa,mimi mwenyewe nimewahi kukabwa marambili na wahuni...