Ninatafuta wa kunibeba udsm mwaka wa masomo-2013/2014 Mabibo Hostel au Main campus, yeyote wa jinsia ya kiume alie tayari kunibeba awe mwaka wa kwanza, mwaka wa pili au wa tatu atakaepata chumba...
Ikiwa baadhi ya vyuo wanawahi kufungua vyuo kabla hamjawasilisha mikopo ama dhamana za kuwalipia walengwa na ikiwa baadhi ya vyuo hawakusajili mpaka uwe umelipa ada yao,na ikiwa lengo la bodi ni...
Background ESTABLISHMENT
The Tanzania Commission for Universities (TCU) as a body corporate established under the Universities Act, No. 7 of 2005, is mandated to recognize and accredit the...
Sasa kaz imebaki kwa heslb,,,,kuwatia presha hawa jamaa ni kitu cha muhimu sana,,,wanajamv,,,,maana ili jukwaa wanapitia watu wengi sana,,,wadau wa heslb,,pia wanapitia sana tu,,,Alafu wiki mbili...
baada ya kufungua page ya tcu nimekuta nimechaguliwa tcu, lakini sijaelewa procedure za registration pamoja na jinsi ya kupata hostel. kwa yeyote anayefafamu naomba anijuze.:help:
Wakuu,
katika mwaka huu 2013/14 wamewaacha wanafunzi wa sheria LLB na kuchukua tu wanafunzi waliomaliza BALE yaani usimamizi wa sheria na utekelezaji ambao wamespecialize kwenye upolisi.rai yangu...