Ni mda wa takribani mwezi sasa yale matoke yaliyokua yakisubiriwa yameachiwa watu kama kawaida kusaidiana kuyapata hata mimi yangu sijapata but naamini ntachomoka hata kwa mbinde. Kumekua na uvumi...
Wadogo zangu huku kitaa hali ni ngumu ma graduate wamejaa huku ajira hakuna ukijidanganya kusomea kozi za arts tofauti na ualimu utasugua benchi kwenu mpaka uwakinai kama unajua wewe kwenu ndo...
mm nilikosea kwenye aplication mara mbili nikaomba kwa njia ya fom six badala ya diploma.. nahitaji msaada kwani jina langu limeletwa kwa mara ya tatu sasa.. naweza kubadili kwa kutumia vocha...
Jamani, baada kuangalia kwenye website ya TCU, nimeona jina langu kwamba nimechaguliwa kwenda Udom. Lakini kwenye list ambayo imetolewa na Udom, jina langu halimo. Sijui tatatizo liko wapo!
Wanajamvi naombeni mnijuze na kunifahamisha kuhusu hii course inaitwa "BA(GEOGRAPHY AND ENVIRONMENT STUDIES)"
baada ya kuhitimu je kazi zipi ambazo mhitimu anaweza kuzifanya na pia upatikanaje wa...
Mimi ni teacher tena mzur tu, sijui nianzie wapi na niishie wapi ili nifanikiwe kuhama wilaya na mkoa nilipo kwa uhamisho wa kawaida. Na tamisemi inasemekana ndo ofisi husika. Nisaidieni mawazo...
nimechaguliwa busines comunication and it <muccobs>, nilisoma hge bam nina f. . Cjui chochote kuhusu it naomba msaada kuhusu masomo ya i.t :- mathematics inayosomwa, soko la ajira yake, mshahara...
Naamin wazima waku, naomben msaada,maoni yenu kuhusu hzo profesheno hapo juu ip ni nzuri na ni bora zaidi na ina uwanja mkubwa wa upatikanaji wa ajira, natanguliza shukran zangu za dhati!
Kuna opportunities za PhD scholarships for pure mathematics nje ya nchi. Mwenye nia au aliye na mtu anayemjua tuwasiliane kupitia PM.
Mode naomba uiache hapa kwa muda ili watu wengi waione na...