Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kutokana na kuchaguliwa Business communication & it (muccobs) ambayo ni ya mwisho kuichagua james malya anaomba msaada jinsi ya ku-appeal tcu au vigezo vinavyozingatiwa kubadilisha faculty vyuoni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
niko mza nimechaguliwa st joseph university of agriculture, chuo kiko songea, BACHELOR OF TECHNOLOGY IN AGRICULTURE - vp facult iko fresh au nifanye mipango ya kubadili, tafadhali elders naomben...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimechaguliwa udsm bachelor of education in psychology... hivi ina ajira au nikabadili tuu..???
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NB: Tumia jina lililoandikwa la kwanza kuelewa mpangilio wa majina mengine, ukielewa; tafuta jina lako kama lipo kwenye orodha. TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES List of Multiple Allocation...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
SUA washatoa majina kwa undergraduet wa 2013/2014 tatizo langu lipo hapa chuo kimechagua watu 48 katika program ya agricalture engeniarng na ilikuwa inaitaji watu 60 je naweza kwenda ofisi za tcu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jmn mi nauliza kati ya post graduate ya tax na postgraduate ya procurement ipi ni nzuri?na mtu hatajutia kusoma
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Kwa yeyote aliyechaguliwa/anayesoma pspa udsm tuelekezane mazingira ya program husika.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
  • Closed
Wanafunzi walioomba vyuo vya afya tajwa hapo juu kwa tumechoka kusubiri!! Wakuu kuna mtu yeyote anaefahamu kinachoendelea kwenye vyuo hivi.....tufahamishane bandugu
0 Reactions
14 Replies
3K Views
tembelea web yao utakuta selected applicant uki click kwa mara ya kwanza pale kwenye selected patafifia then click tena yatakuja wamechagua watu 112
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wale wa ruco majina yapo kwenye web yao
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa yeyote mwenye referee(know whom) OWM-tamisemi naomba mchango wake.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi vyuo wanasubiri nini kutoa majina?
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Mod plz move this thread to the other related thread. Plz mod do that
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kuna huyu mdau. Alihitimu Kidato cha Nne miaka kadhaa iliyopita. Matokeo yake yalikuwa mabovu kwa maana ya Credits 3, D chache na Fails kadhaa. Alijiendeleza na kuhitimu Certificate na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndg wanajf naomba mwenye uelewa kuhusiana na hii course anajuze hasahasa soko lake na mambo mhm kuhusiana na hii course natanguliza shukran kwenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF,Salam. Nimeona nichukue nafasi hii tena kuwapongeza TCU na UDSM kwa uamuzi wao wa kutupilia mbali baadhi ya majina ya waliokuwa wanafunzi watarajiwa katika chuo kikuu cha DSM yaliyoletwa na...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana_jukwaa?? kuna_dogo kaniomba msaada wa kumtafutia chuo cha uuguzi Kwa Mkoa wa Dar es salaam! Bt amesema chuo chochote kile ila kiwe Dar.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wanaopenda kukaa Off-campus waulize kuhusu upatikanaji wa vyumba. 0787895473
0 Reactions
0 Replies
822 Views
B aada ya kuona mambo hayaeleweki nimepiga cm tcu wamenambia kesho halizami
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…