Naomba kujulishwa kwa walioomba vyuo elimu ya juu kama umechaguliwa tayari kwenye cas selection status inaandika nini? Maana nina kwangu bado jina halijatoka na vyuo nilivyoomba ni udsm, udom na...
Wana jamvi salam.
Nipo darasani, mwl anayefundisha anatufundisha namna ya kuandaa somo. Katika maelezo yake anasema:-
Inàanza CURRICULUM yaani mtaala.
Inafuatia COURSE OUTLINE(SYLLUBUS)...
Ndugu zangu first year students naomba mtambue kama mmekuja vitan na sio eneo la masharabaro wala masister duu!!pale chuo ukizubaa first year unaweza kuondoka semister ya kwanza tena kwa urahisi...
ndugu wana jf,kutokana na matokeo mabovu ya shule nyingi za sekondari wizara sasa imeamua kuleta mashuleni mabadiliko kadha wa kadha katika kile kinachoitwa big results,lakini ni onavyo mimi bado...
Chuo cha Mipango kimetoa majina ya wale ambao watajiunga hapo. Hayana tofauti na yale yaliyotolewa na Airtel yatosha, na bado! Tembelea website yao Institute of Rural Development Planning.
Inaumiza sana kuona wenzako washapata chuo wewe unasubiri
Udsm nimekosa
Udom nimekosa
St john hawajatoa majina
schlrshp mpaka tcu watoe daah....
nimechoka
Sn Name Gender Indexo Analysis Institution DegreeProgram modentry Modeapply
1 Naelijwa Jack Manonge F KE01106992009 2 Hubert Kairuki Memorial University Doctor of Medicine Equivalent Non_CAS
2...