Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu naombeni msaada kwa yoyote anaefahamu hii course ya hapo muhas,kuanzia mshahara na ajira zake.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF naomba kuuliza tofauti kati ya Bachelor of engineering in computer engineering ya DIT na Bachelor of science in computer engineering. Nawasilisha.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Eti wana TEKU, vipi kuhusu bachera of education languagies, nieleweshen jaman juu ya hilo. siielew hiyo course.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani hivi hawa jamaa wa ardhi mbona hivi?, yaani admision nazo mpaka tuonge?, kama hawataki si waache. dah.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Majina ya selection yametoka vyuoni mf. Jana ifm wamekuja with th first round watuwakitegemea second round ila uki angalia admision capacity unakuta kua sehemu zote zimejaa. .xo if u missed th 1st...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana jf kwangu binafsi naishukuru sana kampuni ya Airtel kwa kunifanya nikajua selection yangu mapema maoni yangu ni kuwa hata kwenye mkopo wa HESLB Wafanye kama walivyofanya kwenye selection...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu vp out wametoa selection kama ndio vp ntazionaje maana website yao haifunguki tafadhari naomba kufahamishwa kwa anaejua......asante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
tembelea www.kcmcollege.ac.tz
0 Reactions
14 Replies
3K Views
hongera kwa wale wote ambao hawaja shikwa kwenye pepa ushirika
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie website ya Tumaini Dar.
0 Reactions
1 Replies
928 Views
jaman nimerudi lakini kwa kheri... Nipen mpya kwa sababu nilikuwa ban ya wiki 1
0 Reactions
12 Replies
1K Views
kwa mwenye post za tanzania institute of accountancy aziweke humu plzz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
haya jamani kwa wale tuliochaguliwa stella maris tujuane na baada ya hapo mnipe details za hapo...asanteni jamani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
plz nixaidien
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tafadhali wake walichagia faculty ya sheria sterra maris tuwasiliane maana idadi yetu cc ni only six
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mbn post hazija wekwa
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Naomba jinsi ya kuchek selection kwa airtel yatosha, au kama umeshacheki za sua nipostie
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Naomba mtu yeyote mwenye kujua masomo ya BED IN PSYCHOLOGY baada ya chuo soko la ajira likoje anisaidie. Je serikali huwa inatoa ajira za moja kwa moja kama ilivyo kwa walimu waliosoma mf. BA...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ninaomba mwenye utaala.u wakunua nitakuwa nimeapangiwa Chuo gani na kozi ha I So167/0024/1994 passe.09121961 NAOMBA SANA UTA ATABSRIKIWA
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Download hapa!
0 Reactions
50 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…