Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

jaman naulizia kwa mwenye ujuzi kuhusu hiki chuo mahostel na kila kitu pleaseeeee!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
fanya kutembelea Sebastian Kolowa Memorial University (SEKOMU), Lushoto
0 Reactions
0 Replies
802 Views
  • Closed
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I LOVE U UDOM.
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Ninaomba msaada WA kujua Chuo nilichopangiwa tafadhali wana Jf. S0167/0024/1994 PW.09121961.NAOMBENI SQNA MSAADA HUO NINAPOJARIBU AIRTEL HAIPATIKANI
0 Reactions
1 Replies
737 Views
jaman vp kuhusu SUA
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Jamani nisaidieni hivi IFM wametoa majina ya watu waliokuwa selected for the year 2013/14??? Msaada jamani.....
0 Reactions
3 Replies
887 Views
wale wa post graduate diploma na master mzigo unapatikana kwenye website ya ARDHI UNIVERSITY..sisi wa degree bado tuko bench tunasubiri kipindi cha pili
0 Reactions
1 Replies
2K Views
University of Dar es salaam full kujiachia only five people nipo kati yao any advice kwangu wanajamii
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari! Naomba kwa anayeelewa anijuze ndugu zangu kama majina ya wanafunzi waliochaguliwa na NACTE T.I.A yametoka! Msaada..
2 Reactions
7 Replies
3K Views
kuna haja ya kufanya mabadiliko tcu kama umechaguliwa kwny vyuo viwili tofauti?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nijuzeni basi au wana toa lini? kwani dogo yuko jkt aliomba uko baf na baaf
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa TCU kweli kiboko! Si walisema kwenye tar 25 watatoa selection overall? Hayawi hayawi sio lazima yawe! Naona wameamua kufanya kweli! Ila punguzeni mihemko jamani! Matusi hayaruhusiwi!
1 Reactions
22 Replies
4K Views
naombeni kufahamu jaman kama mwuce wametoa post zao, tafadhal
0 Reactions
19 Replies
2K Views
gazeti la mtanzania la jtano leo limetoa tarehe na siku za kuripot chuo kwa undergraduate
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu wanajamii hii ya Tanzania, kwa muda mwingi mmekuwa mkilalamika kuhusiana na kushuka kwa kiwango cha elimu nchini mwetu. Sababu nyingi zimekuwa zikitolewa na wakati mwingine zinashindwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
maana halisi ya neno MWANAUME. Sababu jana katika kijiwe fulani cha kahawa hapa mtaani kwetu karibia watu watoane macho.:confused3:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale wa St.augustine tufahamiane jamani
0 Reactions
4 Replies
939 Views
Naomba kujuwa kama wametoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wakuu naomba kufahamishwa,mati uyole imeshatoa post? pia mwenye no za mkuu wa chuo naomba aniwekee hapa natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…