Aisee,haya mambo sasa yamekuwa too much,hivi jaman kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kufungua web ya tcu?alafu akaona information zake ziko vip?yaan program zake alizochagua,,,,maana mimi siku ya pili...
Habar zenu wanajamvi. Hiv nacte mbona wapo kimya, wanafunzi waliomba chuo kupitia nacte majina yao hayaonekan kwenye vyuo ambavyo vimetoa majina. Kama kuna mtu anafahau atutaarifu kuhusu hili mana...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Liberia, wanafunzi wote wamefeli mtihani wao wa mwisho wa sekondari na hivyo kumaanisha kuwa hakuna hata mmoja ambaye atafuzu kuingia chuo kikuu...
Wadau,
Naona selections za vyuo mbalimbali na watu wanajiandaa, Open University wametoa selection chache tu za Batch One, naomba kama kuna mtu anajua lolote anijulishe nami lini watatoa zingine...
Je! Inawezekana mtu akakosa chuo hata km tcu wame mselect? Yan aliaply 1st time akawa accepted. 2nd na 3rd round hakuwemo kwa walokosa. Nifafanulieni ndg zanguni,
Kuanzia sasa wanajamvi tusitishe kuchangia mada yoyote atakayoitoa huyu kijana anaejiita oil sumu au majina mengine full again na sumu tamu
Anaonyesha dhahili ufinyu wake wa akili na...
nimepitia majina ya selected candidates ya UDSM ni kweli GS imefanya yake mwanzoni nilikua nabisha humu humu jukwaani but leo nimeamini...hongera kwa ambao mmepata nafasi pale nadhani zile GPA tu...
jaman hebu 2jadir hv huyu wazir shams vuai nahodha cjui hayo majibu aliyotoa leo bungen cjui ameyaandaa na mkewe au? wkt vyuo hadi vimetoa tar ya kufungua vyuo mf AMUCTA tar 19,JORDAN tar 23, je...
kwa ripoti niliyopata kutoka kwa profesa mmoja wa UDSM ni kuwa katika ranking za vyuo bora Afrika kwa kuwa nafasi ya tatu na siyo sita kwa South Africa kuwa mbele kwa nafasi mbili zaidi za juu,na...
da tungekuwa tunakutana jukwaan physical ingekuwa noma sana, watu wangekuwa wanaondoka na ngeu, wamezimia,wanalia... Mtu akiomba ushaur tumpe mawazo ya kumjenga na sio kumkatisha tamaa
Wana JF, Kuna nyepesi kwamba wanafunzi Watanzania wanosoma nchini Cuba Maisha ngumu kweli Kufuatia hali ya maisha kuwa juu sana ukulinganisha na pesa yao ya mkopo wanayotumiwa na HESLB! Waliomba...
mimi ninatarajia kumaliza diploma ya IT MUCCOBS mwakani, nimefikiria na nimeshauriwa kubadili programme , wengi wanachuo wanaochuku degree ya IT wamenishauri kua degree ya IT ni ngumu na vilevile...
Kuna Deo Mpya kaletwa hapo naomba muwe makini maana huyu ni Farao.Mzee ana roho mbaya sijawahi kuona.Kama unabisha utayaona.:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::):)