Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wote mliopata nafasi ya kujiunga na MUCE mnakaribishwa ile mbaya. Ila kiukwel kitabu cha pale MUCE ni hatari isiyopimika.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna jamaa wangu kachaguliwa hapo alikua anataka kujua kama je hostel zinapatikana ?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habar wana Jf,nilifanya application second round ikawa imetiki "yes" hv naweza nikabadilisha ktk third round apo vp msaada!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wale wa "mzumbe tusemezane apa
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mnisaidie mbona kwenye profile yangu selection status bado ni processed? Nyie ndugu zangu vipi? Je ni kweli selection tcu wametoa?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kuanzia leo ctoponda chuo chochote hapa tz! Lakn mtu yeyote hatakaye kiponda UDSM ESPECIALLY MUCE mm ckubali hata kdogo! mwsho udsm 4 life chatts55& oil sumu a.k.a meneja wa wa jukwaa!
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Tia
Naomba kwa yeyote mwenye info kuhusu TIA dsm campus mazingira na maswala ya accomudation
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu binafsi nimekuwa admitted st augustine university kozi iitwayyo MASSCOMUNICATION kwa mwenye uelewa kwa undani anipe maelezo kuhusu_ 1.hostel zipo au majanga.. 2.nimesikia mitihani...
0 Reactions
57 Replies
10K Views
shirika la chakula duniani, limesisitiza ulaji wa wadudu ili kuepukana na tatizo la njaa linalokabili mataifa mengi hapa duniani! zaidi ya watu bilioni moja wanaishi kwa kula 'wadudu' hapa duniani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hivi majina ya walochaguliwa SAUT yanapatikana wapi?
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Madaktari wenzangu mpoo mbona kimya au ndo wote jicho wizara ya afya?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
kwa wale mlio chuo kipi bora kati ya hivyo with reasons in case of cost za chumba, chakula na msuli (muscle)!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuhusu mazingira, kitaaluma, hostel, kiimani kiko vipi hiki chuo jamani na wale tulopangwa pamoja tufahamiane kabisa ! kampani kampani wadugu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I'm now a family member of this Forum so accord to me cooperation.
0 Reactions
4 Replies
868 Views
Kuna tofauti gani kati ya facult ya Baed na Ba of education??Msaada wenu
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Bachelor of Laws at Jordan University n miaka mi4. Je,school of law hmo humu humu o maana naona miaka ming wkt vyuo vngne miaka mi3.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wengi wetu tunatarajia kwenda vyuoni,haijalishi ni chuo gani.Waliomaliza vyuo na kuanza maisha katika ajira zao tunaona mambo wanayofanya ya wizi,ufisadi na dhuluma kwa wanyonge ambao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kama kichwa kinavojieleza....cjui hili mnalielewaje??......nawasilisha
0 Reactions
77 Replies
14K Views
Me ni male,natafuta mtu wa kunibeba..tutashare gharama zote.kwa maelezo zaidi ni PM ili tuweze kupeana mawasliano yetu na vilevile nianze kukupiga orientation mdogo mdogo.over
0 Reactions
0 Replies
1K Views
yaani wale wa nacte hatujui kama tumekua selected or not,hata raund ya tatu hawajatoa majina .hii vip?wadau wa nacte.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…