Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

mm nimuhitimu wa kidato cha 6 mwaka huu nimefanya 2 round app imenbidi nachague geoinformatcs haliyakwamba sifahamu chochote kuhusiana na geoinformatics aswa ktk swala laajira msaada jaman naomba...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Naomba kujua juu ya hiki chuo GRACE Training Institute kipo mnazi mmoja ghorofa ya 5 artchitecture nataka kujua kama kinatambulika na Nacte. As well wizara ya afya kwasababu nimesikia wanatoa...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Ki ukweli mwenzenu ndoto yangu ilikuwa kusomea urubani lakin kutokana na kutofanikiwa kwenda A level,nikaenda UALIMU! Ila c fan yangu.NIFANYAJE?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
jina langu liko kati ya watu waliokosea baadhi ya vitu kwenye maombi ya mikopo nilisahau kuweka signature na kunauwezekano wa mtu mwingine kwenda bodi kunisainia maana nko mbali na dar!
0 Reactions
4 Replies
799 Views
Heshima kwa wrote, Mimi nimesomea forensic science bt toka nirudi nchini imekuwa ngumu sana kupata ajira ina maana tz bado tuko nyuma sana kwenye mambo ya investigation?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
kwanza kabisa kwa wasiomjua! Huyu mama nasikia kwa sas amehamishiwa KIBAHA KWA BARUA MAARUM TOKA IKULU!....NAPONGEZA SANA KWA HATUA HIYO KWANI NI MUDA MREFU KUPANGUA KILA ALIPOTAKIWA KUHAMA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni idadi ya majina ya waliochaguliwa kujiunga na chuo cha Mount Meru 2013-2014 ila hawajaandika kama na majina yaliopitia TCU yamo au hayamo japo hayo majina ni round ya kwanza na watatoa mengine...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Tanzania students network ni mtandao mpya ambao upo kwa ajili ya wanafunzi,wadau mbalimbali wa elimu na elimu ya Tanzania kwa ujumla.Tembelea website hiyo hapo chini Tanzania students network
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, habari zenu? Naomba kujua, mtu ambaye amesomea procurement anawezaje kujiajiri? Je kile anachosoma kinaweza kikamsaidia akaweza kujiajiri kama vile mtu anayesomea ufundi? Kwa mwenye ufahamu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF, katibu mtendaji wa NECTA, Dr. Joyce Ndalichako ametangaza kuwa mwakani wanakusudia kutumia computer kusahihisha mitihani yote. Source...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
UNAPOMDUMAZA MTOTO Na Felix Lugeiyamu. Juzi juzi tu katika safari zangu nilikutana na rafiki yangu ambaye tulipotezana kwa muda wa miaka kumi na moja iliyopita. Katika maongezi yetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nahtaji msaada wenu kwa anayekfahamu chuo cha kaole anipe ful information kuanzia kjiunga,fee na v2 vngne.ka utaona usumbufu kuandika jst hta unibp kwa 0763962571/0687600940 ntakpgia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa naomba mnijuze na mnipe uhakika kwa tetesi hizi nilizozisikia kuwa wizara ya elimu imetanganza upya application za diploma kwa wale wenye s tatu kwa waliochukua science? NIJUZE TAFADHARI!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi naona haina tija yoyote kwa sisi wasomi wazima kuendelea kutambishiana katika maswala ya vyuo,ukizingatia serikali yetu yenyewe haiko vizuri katika swala la elimu sasa ninyi mnaotambishiana...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
hanahojiwa live tbc1
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni ya diagnosis and therapy.ni pm kama unahitaji.
0 Reactions
1 Replies
779 Views
khaari zenu wana jf! Mwenye ufahamu; hivi kuna uwezekano wa kupata mkopo katika chuo cha mipango dodoma kwa ngazi ya degree? Maana miye niliappy uko ingawa kwenye book guide waliandika non...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
napata shida sana kuwashauri wanaoniuliza kwa sababu hakuna naloliojua kuhusu hizi course kati Bachelor of Accounting na Bachelor of Banking and Finance. ​kuna mtu anataka kusoma kozi moja...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Yes Guys kuhusu mzumbe sec school 2ambiane jamani.(1) kwanz ina combinantion ngapi?(2) miundo mbinu niaje?(3) maisha ya kischool yamekaaje?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…