Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kwa mwanadamu wakawaida anaweza fikiri kwamba kuwa na elimu kubwa eg masters,phd nk ndo kigezo kikubwa cha utendaji kazi kwa ufanisi kumbe sivyo. Authority ya kusema haya ninayo kupitia ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Habari zenu! Kama heading inavyosomeka, Hebu tufahamiane hapa, tujikumbushe enzi zetu.. Nyali, ngama, salo, pyenga, nyuji, faculty, chatuzoni, kwa chacha, mapazia, down, uzamini, magazeti, nyayo...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadau naomba mnisaidie najitoa vipi kwenye makato ya CWT?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
jaman polen na kusubiri selection ila zinakuja,kwa wale wenye uhakika wa kuja udsm natafuta wa kunibeba,niko poa sana napenda kucheka tu nitext 0685 733122 nitalipia kodi ya semister moja then...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
pale IFM wanatoa bachelor ya tax management vipi wadau iko poa??tofauti na TRA unaweza kupiga wapi job?
0 Reactions
15 Replies
8K Views
ENGLISH LESSON This is the best, most interesting English lesson I have had to date. Did you know "listen" and "silent" use the same letters? Do you know that the words "race car"...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Kumekuwapo na uvumi kuwa vyuo vitaanza mwezi january au february taarifa ambazo si sahihi,nasema hivyo kwa sababu hivi karibuni chuo cha Mzumbe wametoa tangazo kwenye website yao kuwa wataanza...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wale ambao hawana muda wa kwenda vituo kutokana shughuli zao na wangependa wafundishwe nyumban wanaweza kuni pm.kwa masomo ya history,geography na civics
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Mambo zenu wadau Nlikua naomba msaada wa kuniguide namna ya kusoma, jee ni topic gani muhimu zaidi ktk masomo ya pcb??? Maana sina dira wala muelekeo + hizi shule zetu za serikali Shule...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba kufahamishwa sifa za kujiunga na vyuo vya Kilimo na Afya ngazi ya Cheti na Diploma ambavyo vipo chini ya NACTE. Nimepitia websites za NACTE na wizara husika sijaona - kuna orodha ya...
0 Reactions
5 Replies
30K Views
nimmejitahidi kutembelea websites za vyuo mbalimbali nikakutana na mabo yafuatayo: Jordan University College A Constituent College of St. Augustine University of Tanzania (Formerly: Salvatorian...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau hapa jamvini ni kiwanda cha kuelimishana na kupashana habari hakuna kinacho haribika,tafadhali hebu tueleweshane kuhusu mastarz ya special education ina ubora gani? vipi kuhusu soko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mwalimu anaependa kuja wilaya ya chamwino(dodoma) tubadilishane kutoka morogoro mjini, korogwe mjin,singida mjini na iringa mjini
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Nahtaji msaada kutoka kwenu juu ya HESLB.coz sielewi kinachoendelea tangu nimefanya application! naomba unijuze unachokijua juu ya hlo.
0 Reactions
0 Replies
569 Views
wakuu naomba ushauri ili nipate gpa nzur ktk masomo yangu ya chuo natarajia kuanza mwaka wa kwanza faculty ya b.a with education or (baed) asanteni
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Wakuu hbr zenu? Nina certificate ya rural development planning toka IRDP-lake zone. Nahisi kuwa nimechelewa kufanya application, tafadhali ninaomba ikiwa kuna uwezekano wa kuapply na kuanza masomo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Check out list of selected student on CBE website www.cbe.ac.tz
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu wazima wa afya tele. Tumshukuru Bwana Mungu wetu kwa hilo. Nina mdogowangu alimaliza form 4 mwaka 2010, alipata div 3 ila hatukuweza kumpeleka popote kulingana na uchumi wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Chuo iki kipo moshi vijijini karibu na chuo cha tumaini masoka kama kuna mti ana taarifa nacho msaada please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wenye majukumu na hawana muda wa kwenda vituoni naweza kufuata majumbani na kuwafundisha.Masoma ni History,Geography na Civics ninauzoefu wa kusahihisha necta kwa miaka minne nitakupa...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…