Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nimejaribu kucheki majina ya waliotemwa kwenye first round selection za TCU jina langu halipo lakini nimelog in my Profile utata ukanikumba kwenye Kipengele kiitwacho Selection Status bado zote...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natafuta mtumishi wa kubadishana nae kituo cha kazi. niko HAI-KILIMANJARO nataka kuhamia MWANZA JIJI AU MANISPAA YA ILEMELA AU NYAMAGANA.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba ful details about this jaman, unakuta jina lako halipo katika orodha ya wanaotakiwa kuaply upya...na wakat huo huo profile stutas yako inasoma not yet selected. Pia na coz zote zinaonesha...
0 Reactions
7 Replies
972 Views
..hii ni baada ya kupata matokeo mabaya ktk mitihani ya taifa. Mkoa wa Mbeya waporomoka kielimu KIWANGO cha elimu katika Mkoa wa Mbeya kimezidi kuporomoka, tena kwa kasi ya kutisha, kutoka...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Serikali imetangaza majina ya wanafunzi 18,754 waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu vilivyo chini yake ikiwa ni ongezeko la wanafunzi 1,659 ikilinganishwa na 17,095...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Niangalizieni jina la FRANK BAHATI ambae kasoma BUKOLI na WLFRED.N.SHAKTULI ambae kasoma st karoli kama wamechaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu mi ni mwalimu Leo hi mshahara mpya umetoka kwa wilaya ya Mbozi mkoa wa Mbeya ONGEZEKO KWA TGTS C1 =ni Tshs 43,000/=.....hi serikali sasa kuna haja ya kufanya maamuzi magum na...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
The U.S. Department of Agriculture is inviting applications for 2014 Borlaug fellowship program. The program offers training and collaborative research opportunities to scientists, researchers and...
1 Reactions
0 Replies
726 Views
In partnership with the Graça Machel Trust, Canon Collins Trust invites applications for scholarships for women from SADC countries. These scholarships are awarded for pursuing postgraduate...
1 Reactions
1 Replies
906 Views
Ivi jaman inamaana wanaofeli ualimu kwa sasa hawapewi chance yakurudia pepa na ajira lini za hawa walimu wa mwaka 2013
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwenye profile yangu pale kwenye selection status wameandika NOT YET PROCESED halafu kule kwenye SELECTED PROGRAM wamenibakishia kozi moja kutoka chuo kimoja ambayo ilikuwa first choice,hii ina...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu ameomba iyo course mwaka wa masomo 2013\2014.. ! nilmshauri aombe na IFM pia, sema anadai ada IFM ni kubwa mno.. me nimeona ni vzur asome uko uko tu.. maana mwisho wasiku ubora...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Hivi vyuo vya uwalimu cha ILONGA TC na NDALA TC vipo Mkoa na Wilaya gani hapa tz wakuu naomben mnijuzee?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani hii kitu ya kuitwa enligibility ningepena niicheki kabisa this time(second round) je naweza kuiona hiyo enligibility?
0 Reactions
4 Replies
989 Views
anayejua jinsi ya ku apply second selection tcu!
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Hello, When will the students be admitted to universities?, Naomba mnifahamishe.:help:
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Heshima kwenu wanajf! Nasoma bachelor of computer engineering chuo kimoja hapa tz na mwezi wa kumi nategemea kuingia 2nd year! Mwanzoni niliipenda sana hii computer engineering (na nna matokeo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
I am a teacher by profession teaching in a government school.i wish to go for MA(ed).HOW CAN I GET A SPONSORSHIP?THANKS.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa hawa jamaa wa necta jins walivyopanga matokeo ya ualimu mana wameweka centre no tu,agg, point na masomo. Nachoshindwa kuelewa ni jins ya kusoma huyu ni nani.in short hakuna no za...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Ndugu wana jf taarifa tulizozipata hivi punde ni kwamba ndg: JACKSON SHUMBI aliyekuwa makamu wa rais na anayemaliza muda wake kwa nafasi hiyo amefunguliwa mashtaka katika MAHAKAMA KUU YA JAMHURI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…