Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Anayejua shule yoyote ya boyz au co ed ya serikali iliyoko dar ambayo ina comb ya EGM.. Naomba anijuze.
0 Reactions
1 Replies
813 Views
SECRECT: watakaoapply second round wanatakiwa kujaza only one courses na kozi zenye nafasi zimetolewa katika akaunti yako. Hivyo cha kufanya ni kuwahi kuapply ili usikute wenzako wamejaza, nafasi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa na hitilafu ya kiufundi na hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Wanafunzi 137 waliodisco mwaka huu ni karibu asilimia 10% ,kati ya watu karibu 1500 .Hii inaonekana kuwa idadi ndogo kuliko iliyokua ikishuhudiwa hapo nyuma.Maengineer wengi hudosco kila mwaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada kwa anaefahamu ipi ni faculty nzuri kati ya bacherol of medicine na Medical lab.sciences interm of income na competition ya ajira.
0 Reactions
1 Replies
851 Views
:help: :help: naomba kuuliza ivi inawezekana kuapply chuo direct kwa kutuma maombi chuoni au kwenda chuoni bila kupitia tcu???
0 Reactions
1 Replies
940 Views
msaada vp vyuo vya ualimu mwaka huu kujiunga mwezi wa ngapi make post zimechelewa
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wakuu mbona hii second kwenye kuapply inanipa slot moja tu..... au ndo wametubania kihivi?????
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa nahitilafu ya kiufundi na hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie vitabu ambavyo ni vizuri kutumia A-level
0 Reactions
7 Replies
6K Views
kwa wale ambao wanahitaji kufanya maombi ya vyuo kwa level ya degree na walichelewa kufanya hivyo sasa mtafanya kuanzia tarehe 29 july hadi 9 august 2013.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
mambo vipi members wote wa jamiiforums mi niko poa nawapa hai mana kitambo sana sijatokea pande izi za jamiiforum
0 Reactions
2 Replies
732 Views
TCU kama imeamua kutoa majina ya wanafunzi ambao hawajachaguliwa na waaplly mara ya pili basi kwawalio chaguliwa watoe eglibility watu wafaham ni wapi wamechaguliwa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna habari kwamba applicants wa loan board warudie kujaza form ya kueendelea kupata mkopo je,ni kweli?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari wanaJF, Naomba kujua utaratibu wa mwalimu wa kike kahama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kumfuata mme wake, maana kuna mtu ametuma maombi ya kuhama ila kaambiwa na afisa elimu wake...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kama mtu hajachagulia profile lake sehemu ya selection status inakuaje? Na aliechaguliwa pia selection status yake ipo vipi?
0 Reactions
0 Replies
891 Views
habar zenu Wanajamvi... Nmepitia TCU Website thru my phone nmekuta majina ya waliokosa first selection yametoka. Kwa bahat mbaya mwenzenu na wengineo cm zetu hazina uwezo wa kufungua PDF na tuko...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika hali ya kufurahisha na kuchekesha pia wanafunzi watoro wafuatwa kwa bodaboda ya mwalimu mmoja baada ya mwingine na kucharazwa viboko walipofikishwa shuleni hawa ndio aina ya waalimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sikuamini pale nilipoona kwenye account yangu ya Face Book mtuamenitumia link ya Math Video Tuition; nilipofungua nilishangaa kumbe wakati serikaliinalalamika na kuunda kamati kutatua tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mfano kozi yakwanza total applicant 678 eligible 340 first choise 29 kuna possibility ya kuchaguliwa kozi ya pili au ya tatu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…