katika gazeti la leo la nchini Rwanda imeonesha wamezidi kuikosoa serikari yetu hata katika sekta nyingine kama elimu huku wakidai tuombe msaada katika suala zima la elimu. Source:Dear Tanzania...
Wanajf nimechaguliwa mosh tech pcb naomba kujua iyo shule mazingira yake ni mazur kwa iyo comb na kuna wenzangu kama watano ivi wamechaguliwa uko , hivyo naomba kujua mwenye kujua, na ni kweli iyo...
Naomba msaada wa kupanga matokeo kuanzia mwanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho,
nimeshaandika S/N 1-263,majina ya wanafunzi ,alama zao kwa masomo 9,
Jumla,
wastani.
Nnatumia microsoft...
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu shule nzuri za private kwenye combination ya HGE. Mdogo wangu kachaguliwa government lakini nataka aende private high school.
Mimi naomba kuuliza kuhusu hizi vocha za Tcu Muda umeongezwa? Maana wengine kiukweli maisha na uchumi wetu Mungu anajua lazima tupambane sana kupata pesa
Habari zenu wakubwa na wadogo zangu....narudi tena kwa shida ileile ya wiki kadhaa nyuma...Nimeapply TCU Diploma Category nimefikia katika step inayosema NTA LEVEL F
6,FTC,TEACHERS,OTHERS hapo...
TAARIFA KWA BODI YA MIKOPO TANZANIA (HESLB) KUHUSU (RUCO)Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha RUAHA (RUCO) kilichopo mkoani Iringa, Napenda kuwajulisha kwamba viongozi...
Habari zenu wadau JF.?Nina ndugu yangu kachaguliwa kwenda kusoma MUSOMA form VMchepuo wa HGE.
Sasa nimejaribu kuulizia hiyo MUSOMA ni shule ipi Marasekondari au MUSOMA TECH SEC..? Naomba msaada...
"Asilimia kubwa ya Members humu "JF"elimu waliyoipata haijawasaidia!!?.Mtu unaomba ushauri but unachoambulia ni Matusi na Vidonge/Makavu kavu,Sasa jamani mi nikikuuliza swali kama hunajibu sibora...
naomba kusaidiwa nataka kubadilisha mazingira ya kusoma nahitaji kufanya masters yangu katika nchi zifuatazo, finland, holand na norway...sasa naomba ushauri ni nchi gani ni nzuri kimasomo na ni...
Kumekuwa na Taarifa kuwa UDSM kinazalisha vilaza. Napenda kuwahasa wananchi waendelee kusoma pale maana ndio chuo pekee kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania. Matatizo ni machacha sana...
wana Jf nimechaguliwa kujiunga kidato cha tano shule ya lyamungo PCB naomba kama kuna mwenye joining instructions hata ya mwaka jana aniandikie vitu muhimu +ada na michango mingine
National Examination council of Tanzania(NECTA).Serikali kwa kupitia Wizara ya Elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya Kidato cha Nne.Hapo awali madaraja yalikuwa ni kama...