Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wapenzi wasomaji JF; Mwaka huu nami nikaona niige enzi zile za ujana wangu, nikaamua kujikongoja na kifimbo changu hadi nikafanikiwa kufika uwanja wa Maonyesho ya sabasaba mwaka huu wa 2013. Eee...
3 Reactions
33 Replies
11K Views
Wakuu naomba munijuze kuna tetesi huku mtaani kwamba wizara ya elimu inachagua wanafunzi waliopata four za 26,27,28 wanachaguliwa moja kwa moja kujiungana uwalimu na upolisi kuanzia wiki ya kesho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mimi ni mzazi naomba yeyote ambae mtoto wake kapangiwa galanos au mtoto aliepangwa huko naomba niwasiliane ili ikiwezekana wasafiri pamoja na mwanangu.tumia no0715 097143
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Naomben kujua km kuna wanafnz wa kdat cha 5 2013 waliopngwa kisarika sec
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Naomb kujua taarifa za kitaaluma na mazngra ki ujumla ya secondary ya kisarika kwa CBG
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahan wadau naomb msaada kwa anaeijua kisarika secondary ki taaluma na mazngra ki ujumla kwan nmechaguliwa huko CBG je inalidhsha?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Samahan wadau naomb kujua taarifa za kitaaluma na mazngra kwa ujumla kwa anaeijua secondar ya kisarika kwan nmechaguliwa huko CBG je yanafaa kwa hyo comb?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Safari ya kupata elimu - BBC Swahili - Medianuai Mwenye kuweza kuweka series za picha tafadhali go ahead.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Everything has advantages and disadvantages. But the following are the disadvantages of education. https://sites.google.com/site/russmay/thedisadvantagesofbeingeducated
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJF walioko Arusha tujuzeni, kama kuna mtu mwenye taarifa sahihi kuhusu moto kuteketeza Bweni moja katika Shule ya Dalzon iliyoko eneo la Chekereni, Arumeru, Mkoani Arusha. source: radio one...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Pipoooooooooz!! Nna imani mu wazima, tafadhali naomba msaada wa kupanga matokeo ya mtihan kuanzia mtu wa kwanza hadi wa mwisho, mpaka sasa nimeshaandika randomly hayo majina 263 na alama zao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nafurahi kusikia kila siku chuo cha Mzumbe kinategewa sana katika idara mbali mbali za serikali na mashirika ya watu binafsi. Kuna tathimini ambazo sio rasmi zinaonesha 71% ya wafanyakazi hapa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani wana Jf kwa aliyekwisha fuatilia thead yangu ya hapo nyuma iliyokuwa imeandikwa kwa kichwa hiki "NAKARIBIA KUFUKUZWA CHUONI NISAIDIENI MWENZENU" mtu wa Mungu wa humu humu Jf alinisaidia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Which time is good for a student to stuy himself or herself?
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Samahani wanajamvi, mimi ni mwalimu, nimeomba kubadilisha kituo cha kazi (kuhama kwa kubadilishana). Sasa naomba msaada, nani ana details za TAMISEMI coz mpaka dakika hii hawajatoa vibali, na...
0 Reactions
2 Replies
895 Views
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu...
0 Reactions
165 Replies
14K Views
tafadhari naomba kuuliza kuhusu songea boys mazingira ya usomaji PCB Maktaba,maabara,msosi na vitini,walimu wapo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini waungwana Nauliza ni njia gani scholarships zinapatikana kwa undergraduate studies in abroad countries
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Wakuu nasikia bodi ina utaratbu wa kutoa majina ya watu waliokosea kujaza fomu za mkopo.. Wanaokosea mwisho wao ni nn? au ndo hawapat mkopo kabisa
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni vitabu gani vizuri kwa Advance physics and Chemistry??
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…