wana JF wanafunzi wa SEKOMU wanaojiandaa kuanza mitihani yao ya kumalizia semister yaani(UE) wamejikuta wanaambiwa kama ulikuwa hujakamilisha ada kulingana na dead line hutakiwi kufanya UE wakati...
Hili suala me linanichanganya kidogo,applications for undergraduate studies zimewekwa kwenye category tofautitofauti.wale wanaotumia form six qualifications wana link yao,wenye diploma...
Habari wadau,
Mwenye vitabu vya Inorganic chemistry A' Level -Part 1 and Part 2 vya Tanzania Institute of Education(T.I.E) anitafute tafadhali! Au kama kuna anayefahamu mahali vinapopatikana...
Naomba kufahamishwa kama inawezekana kupokelewa shuleni(f5) wiki moja kabla ya tarehe ya kuripoti rasmi shuleni ikiwa utakuwa umekamilisha kila kitu.. Thanks in advance..
kama wewe #ULISOMA " hapo MJENGONI HEBU TUPILIA SIFA ZA IYUNGA TECH. AND #TOAUSHAURI KWA MOYO WOTE,kwa walochaguliwa and kama umechaguliwa #USIOGOPE ,HII NI SHULE BOMBA SANA YANA NA INA VIGEZO...
Huyu mkuu mpya aliyehamishwa Kahororo kutoka shule ya sekondari Bukoba ni kikwazo cha maendeleo ya taaluma.Ameondolewa Bukoba sec baada ya matokeo mabovu ya form iv kwani mwaka 2010 kulikuwa na...
Jaman nipo kibaha pwani. Nimechaguliwa njombe sekondari. Natafuta m2 wa pande hz anaeenda huko. Au yule aliyemaliza apo anipe information za shulen huko
Jitokezeni mlopitia Kahororo ili tupange mikakati ya kuiboresha shule yetu. Wengi nakutana nanyi mijini ila hapa siwezi jua nani na yupi na natumia jina lipi. Nasubiri majibu yenu
wakuu nina f la math lakini nina bios c chem c phy d na engl d niliapply wizara ya afya diploma ya clinical Officer.vp wakuu Hilo f litanigharimu katika selection maana niliapply dit labaratory...