Asalam
alehkum/bwana asifiwe/abari zenu.Ikiwa mtu amepata mwalimu wa
kubadilishana naye vituo vya kazi naomba kujuzwa ni taratibu zipi afuate
ili aweze kufanikiwa kuhama?je,ni sababu zipi...
ndugu wana jf;
mimi ni muumini wa sayansi na teknolojia nikiamini kua hatuwezi kusonga mbele kimaendeleo katika nyanja zote bila kukua kwa technolojia imara hapa tanzania.
Watu pekee wanoweza...
ndugu wana jf;
mimi ni muumini wa sayansi na teknolojia nikiamini kua hatuwezi kusonga mbele kimaendeleo katika nyanja zote bila kukua kwa technolojia imara hapa tanzania.
Watu pekee wanoweza...
Katibu wenu CWT kasema Bank ipo mbioni kufunguliwa,mtauziwa hisa,mtapewa mikopo ya bei nafuu,mtajengewa nyumba,yan mtapata raha hainahaja ya kudai ongezeko la mshahara
anaongea kinouma hata haeleweki,
Salaam ndugu wadau, naomba kuuliza wale wanaomba chuo kikuu huria(open univesity). Wanaomba Tcu au wanaenda katika tawi la chuo husika. Je waweza pata mkopo?. Nashukuru wadau
Ndugu
mi ni mfanyakazi niliyoajiriwa na Katibu Mkuu wizara ya maji
net pay yangu ni sh. 387,800 kwa mwezi.
Je, ni bank gani naweza kukopa kiasi cha zaidi sh. 5 million na riba nafuu?
Nawasilisha
kwa wale wanaosoma st kayumba hii inaweza kuwasaidia.Ili kufaulu unashauriwa kufanya yafuatayo
1. jenga utamaduni wa kujisomea WEWE MWENYEWE vitabu ambavyo vinaonekana ni vya maelezo mengi mfano...
Napenda kuwashirikisha ndugu zangu katika hili tuache siasa na tusimamie ukweli.
Ninao ushahidi wa kutosha juu ya hili mwanafunzi wa dipl ya nersing hajui hajui hata kutoa first aid kwa mgojwa...
Wakuu,
Kuna rafiki yangu anataka kuinvest kwenye elimu ya juu. Yeye ana uwezo wa kuorganize manpower/personnel na technical requirements zote kama programmes, syllabi, modes of delivery...
hi,naomba kufahamu kwaanae fahamu hili swala,nilifanya mtihani wa form four kam private candidate nikafanya masomo matatu nikafaul somo moja nililokua nikilihitaji ilikua mwaka 2008 je naweza...
Hv wana JF wizara imeshndwa kutangaza selection up to date ama ndo wana mpango wa kufuta tena matokeo?,ama ndo hakuna tena kwenda shule ?,mbona wamekuwa mabubu ghafla hatujui knachoendelea!,labda...
ebanaa mi ndo nataka nikafanye research mwezi huu wa saba mnaweza mkanifungulia topic ya kwenda kufanya wadau.. mi nasoma accounting and finance....thanks
Bado najiuliza .km ubora wa elimu upo chini hivi?halafu kuna siasa na dini ktk matokeo,na uimara wa taasisi maalumu unategemea uadilifu na msimamo wa mtu,soon watahiniwa watatapata matokeo...
Kwa mfano kwa kutumia matokeo ya mwaka jana(2012) jinsi yalivyo kuwa yametoka.
Matokeo ya mwanzo kwa mfano mtu akawa amepata IV 33 akaamua bora arudie mtihani,matokeo ya pili yalivyo toka akawa...
Asante ndugu wanajamii wenzangu.
kwa jina naitwa bless mgongolwa, Nipo kidato cha 6 PCM katika shule ya secondary BENJAMIN WILIUM MKAPA, Katika kujitolea kuendeleza elimu ya tanzania Nimebuni...