Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. We are representing top ranking Government...
Chuo kikuu cha dodoma kinanusurika kuungua baada ya nguzo ya umeme kuanguka ktk school ya humanities na kuwaka moto, hali hiyo imesababisha baadhi ya wanafunzi kuumia na wengine kuzimia hali hiyo...
Shule moja huko kusini mwa Japan katika jimbo la Okinawa ilishindwa kuwafanyia wanafunzi wake wa darasa la sita graduation yao mwaka 1945 kwa sababu ya vita kuu vya pili vya dunia. Hatimaye...
Habari zenu wadau wa jf wakubwa shikamoni na wadogo wenzangu mambo vip? najaribu kutafuta data za kutosha kuhusu post za advance kwa kidato iv 2012 lakini bado sijapata data sahihi sasa naombeni...
habarin wana jamvi naombeni kwa yeyote anaefahamu shule nzuri ya nursary au msingi ya kulipia naomba na contact zao kama unazijua utanisaidia sana. asante
jamani nao watu ambao wamesoma shule ya selous kuanzia miaka ya 2000 hadi 2007 kama mpo humu jf ili tufahamiane maana hapo miaka hiyo hata simu ilikuwa inshu ni mwendo wa barua tu nataka tufahamiane.
Naomba mnisaidie kuhusu hiki chuo kwan nina mdogo wangu amemaliza hapo st jonh diploma mwaka jana.Wakat ametuma maombi walimuambia km ana credit tano o'level anaweza chukua diploma,Niliwauliza...
"Tafiti na uzoefu vinaonyesha idadi ya watu mbumbumbu nchini inazidi kuongezeka kila siku"
Sababu zinazochangia hali hiyo ninyingi, ikiwamo ya chombo kinachohusika na Elimu ya Watu Wazima...
TCU ndio chombo kinachohusika kwa sasa kuchagua wanafunzi wote wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini kupitia mfumo rasmi unaoitwa CAS. Kwa utaratibu uliowekwa kwa sasa, ina maana hakuna...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. We are representing top ranking Government...
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo...
Npen ma full informatn na data za kutosha kuhxu poxt za advnc 2013 kwa 4m4 2012 na rexult clp mana mwez ndo unakatka hvyo 2shakata 1/2 ya mwez na shul ndo wa 7 xo hii wzara haijui kuna maandalz...
Hallooooooooo!
Kwa yeyote mwenye kufahamu!
Plz anijuze!
Hivi NECTA wanaunganisha kile cheti cha zamani na kile kipya kinachopatikana baada ya kurisiti?
Naombeni kujuzwa kwa yeyote mwenye...
jamani wanajamvi et ni kwel yanayozungumzwa mtaani kuwa wanaotarajiwa kuingia chuo 2013/14 wataanza masomo yao january badala ya october
kama ni kwel tupia source of info....
ndugu wana jamii mimi mwenzenu nimepata tatizo, nimeshajirejista tcu ila kulog in inafeli, hata vyuo sijachagua, tafadhali naombeni msaada wenu nifanye nini! muda unaniishia. please nisaidieni
Msaada wenu tafadhali maana ugeni si kitu chema....nimeejaza fomu ya tcu tayari lakini pale kwenye selection status inasema not yet proccrsed na kule kwenye programs imeandikwa CHECK IN...