Jaman ndugu zangu wana jf! Naomba kuuliza hv ile chench ya rada mbona cjackia ikizungumziwa tena?? Au ndo hyo imetumika kuundia tume ya kuchunguza matokeo ya f4 2012.?
Naomba kuwakilisha!
Huyu kijana ambaye alikuwa naibu spika serikali iliyotoka madarakanu anayejulikana kwa jina la azizi chavuranda kama sijakosea.
Zaidi ya wiki sasa namuona kwao dsm wakati wenzake wanaendelea na...
wadau shikamoni, naomba kuuliza hivi ukifanya registration kwenye site ya HESLB unatakiwa usubiri wakutumie password kwenye email uliyoandika, maana nimejaribu ku-login kwa kutumia ile password...
hayaw hayaw sasa yamekuwa.jumatano sio mbali kama una dv 26/27/28 anza twisheni.
Ni kupitia link website ya " www.mwananchi.go.tz "
kuhusiana na matokeo mazur.GOD IS ALL ABOVE US.
Wadau napenda kuuliza: ni wapi kwa hapa Dsm, naweza kupata Tution nzuri inayofundisha Lugha ya Kiingereza, pia kuna uwezekano wakupata Chuo bila ya kuwa na Cheti cha form 4?
Jamani wanajf nisaidieni et ni kweli mwakani boom litapandishwa kutoka sh. 7500/= mpaka sh.9750/= maana huku chuoni kwe2 ndo habari ilyozagaa.najua ni swala nyeti lakini napenda kujua kuhusu hili
habar wana Jf, hivi serikali imeweka mikakati gani kama sio kunusuru angalau kuondoa kero ambayo imejitokeza mwaka huu kwa form 6 waliomaliza mwaka huu?nahc something went wrong in making...
kutokana na taarifa nilioipata hiv punde inasemekana kwamba matokeo hayo yatatangazwa muda wowte kuanzia sasa...hivyo walengwa munaombwa kuwa na subira na baraza linawaomba radhi kwa presha na...
Dar es Salaam. Idadi ya watahiniwa
waliofaulu mtihani wa kidato cha nne
mwaka jana imeongezeka kwa kati ya
asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la
Mitihani la Taifa (Necta), kufanya
marekebisho...
Join free email facility connecting you to hundreds of great teachers, students, school owners, libraries, bookshops. It's free. All you have to do is to send an email to...
wana jf nadhani mko cool!
kuna jamii ya watu wana amini kuwa kuendesha pikipiki au bicycle kwa muda mrefu inachangia upungufu wa nguvu za kiume!
Wakuu je ni kweli...
Waziri wa elimu dr shukuru kawambwa ameeleza kuwa elimu ya primary na secondary kwa pamoja kuwa elimu ya msingi kwa kila mtanzania na itatolewa kwa mda wa miaka kumi. Source chanel ten Habari,