"Mambo vipi wadau wa elimu" nimeanza kwa salamu ya kishkaji, si kwamba waheshimiwa sana nimewadharau. Mimi nina maswali mengi kichwani. Na ambayo sijayapatia majibu hadi sasa....... Kinachoniumiza...
Kwanza ni mpiganaji.Ni role model wa wanawake
Alianza kuwa secretary,baadaye alijiendeleza kama ifuatavyo:
Certificate in law-Udsm
LLB Hons-Udsm fuculty of law.
Advanced diploma in women in...
CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
TANGAZO
Kutokana na Chuo kufungwa, Baraza la Uongozi wa Chuo katika kikao chake cha dharura cha tarehe 03 Mei 2013 kimeagiza wanafunzi wote kuanzia ngazi ya Cheti mpaka...
Have You Been Assigned a Research Proposal and You are Wondering What to do and How to Write it?
What about your Dissertation?
The service is available at reasonable rates.
Just PM me and we...
"Mlango mmoja unapojifunga basi mingine hufunguka, lakini siku zote tunaangalia na kujutia ule mlango uliojifunga, hali ambayo tunaacha kuangalia ile iliyofunguka kwaajili yetu
- Alexander Graham...
"Mlango mmoja unapojifunga basi mingine hufunguka, lakini siku zote tunaangalia na kujutia ule mlango uliojifunga, hali ambayo tunaacha kuangalia ile iliyofunguka kwaajili yetu
- Alexander Graham...
Kwenye local papers moja hapa nchini nadhani mtanzania, kuna barua ya mtoa maoni akilalamikia kuhusu udini w akupindukia huko chuo kikuu cha dodoma, inasemekana kama wewe si mwislamu huna chako...
Kiukwel 2nakoelekea watanzania sio na 2cpokuwa makin 2takuwa 2nazalisha jamii ya wa2 wajinga mana matokeo ya form 4 kurudiwa kuchunguzwa tena kuna uwezekano wa baraza kufanya hujuma ya kuongeza...
Tusiwe tunalaumu bila kufahamu jambo lenyewe kiundani.Kweli alieshiba amjui mwenye njaa. Matokeo ya mwaka jana ni batili kwa sababu hauwezi ukapandisha alama za wahusika bila kumjulisha au...
Kwanza kabisa naipongeza tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza kuwepo kwa matokeo mabovu ya kidato cha nne mwaka 2012 je ni sahihi kwa taasisi mbalimbali zilizojitokeza hivi karibuni kama...
Wanafunzi wa udsm-duce wanajibiwa kisiasa kuhusu ada kutoka bodi ya mikopo. Wanamaliza kulipa shea zao za % lakini siku wajapo kuchukua matokeo wanaambiwa wanadaiwa .! Sasa jamani ufisadi ni...
Soma Na Upate Computer Bure!!!
Professional Computer User Certificate (PCUC)
This is integrated certificate that covers at least every important angle of ICT in order to be a real Computer...
Kweli alieshiba amjui mwenye njaa. Matokeo ya mwaka jana ni batili coz huwe ukapandisha alama za wahusika bila kumjulisha au kumtaalifu muhusika mwenyewe, kuanzia wanafunzi, walimu, wazazi na...
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi buguruni" a" ameamua kwa makusudi kukodisha kwa mtu binafsi darasa la computer pamoja na computer zilizomo kwa mtu binafsi.
Darasa hilo lilijengwa kwa msaada wa...
ALBINO AFUKUZWA SHULE JIJINI MBEYA KWA MADAI KWAMBA NI MCHAWI
Amina Mwamkinga alisema tangu tarehe tisa alipofukuzwa bwenini na wanafunzi wenzie wakitaka aondoke shuleni...
Amina Mwamkinga alisema tangu tarehe tisa alipofukuzwa bwenini na wanafunzi wenzie wakitaka aondoke shuleni hapo wakimtuhumu kuwa mchawi majira ya usiku hali iliyomlazimu kuomba hifadhi kwa mlinzi...