Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa miaka michache iliyopita tatizo la ajira limeanza kushika kasi Tanzania na kwa miaka michache ijayo litakuwa tatizo sugu kama hatua za makusudi hazitochukuliwa. Tatizo hili kila mtu analiona...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa chuo cha Udsm duce dar afariki kwa njaa na vidonda vya tumbo mwanafunzi huyo kwajina la Giliadi goodluck umauti umemkuta jana
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hv Tanzania kuna faculty ya SURVEY na ni ktk chuo gan? Na qualifications zake ni zp? Msaada tafadhar!
0 Reactions
2 Replies
865 Views
hv jaman mnalichukuliaje swala la serikali kupandsha wastan kuwa gredi F ni 0-34, D ni 35-49, C ni 50-64, B ni 65-79 na A ni 80-100 maana 4 thix mata cjui kama 2tapta kwl yan kwa kdato cha nne
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Nasema ni aibu kwa wasomi wetu wa kada mbalimbali hapa nchini ambao wanategemewa na jamii kubwa ya watanzania katika kuleta mabadiliko na kuchochea maendeleo katika jamii watokazo,ni kama wiki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Za majukumu wadau! Naomba kwa mwenye kujua hawa watu wanaoitwa makatibu wa utumishi wa walimu hupatikanaje? kama wanateuliwa ni nani huwateua na taarifa zao za mwezi huwa wanazitoa kwa nani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni maalum kwa Mwl wa OAF 112: Management Mathematics and Statistics. Kwanza yeye mwenyewe au pamoja na moderator wa maswali km yupo hawako makini na wanachotunga. Hali inayoleta wasiwasi km...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKUU Nili'apply vyuo viwili tofauti. Cha kwanza kinaanza masomo mwezi huu wa 4 na kingine kitaanza mwezi wa kumi. Hiki cha kwanza kimeshatoa selection na nimechaguliwa Lakini hicho kingine bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu Nahitaji ushauri wenu juu ya mwanafunzi aliyemaliza form 4 na kupata division 4 ya 32. Na hizo D mbili alizonazo si ktk masomo ya sayansi yani hesabu, fizikia, kemia, baiolojia ama...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
amefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2009 na akarudia tena 2010 akapata vyeti viwili.swali je kuna uwezekano wa kufanya kiwe kimoja badala ya viwili vya sasa?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
AGAIN, HELLO JAMII FORUM! ITENDE SECONDARY SCHOOL INA TANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA 5, MWAKA 2013; MICHEPUO: HGL, HGK, HKL NA HGE SHULE NI KUTWA NA BWENI/HOSTELI SIFA NI WENYE CREDIT...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naulizia kama kunauwezekano mkubwa wa wanafunzi walo pata daraja la division 4 ya 26 na 27 kwa mwaka 2012 kwenda advanse?? Kama kuna dondo kuhusu hilo naomba ufafanuzi kupitia (0767980086) kwa...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Hivi majuzi nimemsikia Naibu waziri wa elimu mh.Philipo Mulugo akisema kwamba serikali inanuia kurejesha adhabu ya vibo shuleni ili kurejesha nidhamu kwa wanafunzi na kuwafanya watulie kujisomea...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za w'k end wapendwa?naomba mnisaidie kwa mtu anaye resit form six anaruhusiwa kurudia masomo mawili?na kama ndio je cheti chake kipya kitasomekaje.
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Alizeti ni chanzo cha malisho ya mifugo Alizeti haitoi mafuta pekee kwa afya ya binadamu, lakini pia inatoa chakula kwa wanyama na viumbe wengine mfano mifugo (ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mm ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu nilichukua PCB nasubiria majibu, ndoto zangu ni kuwa doctor lakin nimezungumza na baadhi ya watu wanadai udaktari mgumu Afadhal ufamasia, so...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
"Umaskini na uharibifu wa mazingira ni watoto pacha na mama yao ni ujinga", (A.H Mwinyi, 2010). Nimelazimika kuanza na usemi huo wa Mzee Ruksa nikiikumbuka kila April 1, ambapo huwa ni siku ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hongera kwa wamiliki wa huu mtandao kwa kufanya juhudi ya kutaka kuwaunganisha wanafunzi wa level zote TZ www.tanzaniaartsstudents.webs.com
1 Reactions
1 Replies
1K Views
“Umaskini na uharibifu wa mazingira ni watoto pacha na mama yao ni ujinga”, (A.H Mwinyi, 2010). Nimelazimika kuanza na usemi huo wa Mzee Ruksa nikiikumbuka kila April 1, ambapo huwa ni siku ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa kwa umma kutoka TCU juu ya chuo cha TIU(TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY ) kilichopa kimara mwisho Tunapenda kuwajulisha kuwa chuo hiki hakina ithibati ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…