Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

  • Closed
Wizara ya Elimu inayoongozwa na Alhaj Jumanne Maghembe (MB) akisaidiwa na Hajjat Mwantum Mahiza (MB) hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya upendeleo hususan katika ugawaji wa Scholarship za...
1 Reactions
166 Replies
31K Views
Ktk hali iliyotofauti na miaka mingine,mwaka huu bunge limeanza mwezi wa nne na kwa matarajio ya waalimu walio wengi ni kuona serikali ikiwajibu madai yao mfano kuongeza maslai na kuboresha...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Katika pitapita kwenye mtandao nimekuta tangazo la kutoka kwa vyeti. Jaribu nawe kutembelea Certificate and Transcripts for 2012 - Certificate and Transcripts for 2012 ili ujionee!
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Wakuu napendelea kusoma IT sasa kunachuo kipo malaysia nimekifuatilia na wanatoa degree ya IT with specialism in information system security.sasa swali langu ni hili nikienda kuchukua hii kozi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
huko siju zilizopita yalijadiliwa haya https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/414059-nafasi-za-kazi-tanzania-international-university-tiu.html...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana. Naomba kwa yeyote anayefahamu chuo chenye kutoa kozi ya human resources applications anijuze tafadhali. Iwe ni dar, arusha au mbeya.
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Ndugu wana Jf naomba kujuzwa juu ya hili, unakuta kunamjumbe walati anachangia hoja katika tread mwisho anasema nitaku 'PM' mim binafs sielewi huwa wanamaanisha nin...tafadhali naomba kujulishwa
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Naomba wadau mnisaidie kupata chuo kinachotoa kozi ya ushauri nasaha miezi sita na ada za hvyo vyuo kwenye hyo kozi. Napenda sana sana nipate vyuo vilivyopo tmk make nataka mama watoto asome hyo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie mwogozo na sampo za research/project report on entrepreneurship nasoma BAC 3rd yr Asante
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Wakati nasoma chuo wale watu waliokuwa wanasoma Education walikuwa hawataki hata kujulikana wanasoma nini maana kwao ilikuwa ni aibu kuonekana unasoma Education. Mtu yupo tayri kukuazima kitabu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu na wazungumzaji wakuu wa kiswahili naombeni msaada wenu kujua kiswahili fasaha cha maneno haya kwa sababu nimepewa kazi ya kuandika report kwa kiswahili kutokana na aina ya research...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
natanguliza heshima za dhati kwa wana jf! kama kawaida ya wana jf huwa panapo tokea jambo ambola sio zuri kupeana taarifa ili tuone jinsi ya kulitatua tatizo! ni wiki ya nne sasa tangu watu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MVULANA mmoja mwanafunzi wa shule ya Sekondari Chief Senge mkoani Singida anashikiliwa jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma ya kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne. Mvulana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wanajamvi, Mimi ni kijana ambaye nahitaji sana kujiendeleza kielimu . Elimu yangu ni darasa la saba lakini kwaajili ya ujanja ujanja nimefanikiwa kupata kibarua na kampuni fulani...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
ALAMA ZA UFAULU KIDATO CHA IV TOA MAONI WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatarajia kubadili alama za ufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha Nne ili kuwawezesha wanafunzi wengi zaidi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu wanabodi Nimeona nilete mada hii kwenye uwanja huu ili watu wajadili,ni nini chanzo cha kuporomoka kwa elimu Tanzania,wengi wametaka Waziri wa Elimu na naibu wake Philip Mlugo wajiuzulu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu wana JF Jina langu ni Elineema Jonathan Mosi , Wapo baadhi ya watu wanadaiwa na bodi ya mikopo nchini hawataki kulipa huku bodi ikikabiliwa na changamoto nyingi sana za ongezeko la waombaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Namuunga mkono WAZIRI Mulugo kwenye hili. Wale wa Haki za Binadamu wanajifanya kama hawaishi Tanzania na kama wao walisoma Ulaya kwamba hawakuchapwa. Naomba tuwachape wawe na adabu mpaka tutakapo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni information kuhusu interview na vituvingine kwa anayefanya application please...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…