Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hallow dear folks and technocrats. Am looking for the Training Center or Institution in Dar es Salaam which is conducting review program or training on Certified Information Systems Security...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jaman naomba mawazo yenu. walimU wa math na sayans na kiingereza mbona tunapata tabu sana ilihali mkwanja mwisho wa mwezi sawa! nikigomea vipindi vinavyozid ntakuwa nimekosea! binafsi nina vipindi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Poleni na ujenzi wa taifa ndungu zangu.mimi ni muhitimu form 4 mwaka jana, matokeo yangu nimepata division 4 ya point 30.Phys D,Bios D,Chemis D,Geog D, Kiswa D.kwa matoke haya naweza kupata chuo...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
matokeo ya form 6 2o13 yanatoka lini?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari! Naitwa Zakaria Gerald nasoma kidato cha sita morogoro ...Binafsi nimefurahia sana hii idea aliyoianzisha aliyekuwa miss mwaka 2004 dada Faraja kwa kuwasaidia wanafunzi wa kitanzania...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Jaman husika na kichwa cha habari hapoa juu mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa nne UDSM(COET) kuna mwanafunzi mwenzetu wamemdisco chuo eti kisa cmu , alikutwa na simu kipindi cha ue na simu yenyewe...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Wakuu heshima kwenu kwa ujumla! Naomba kuuliza kwa sisi tunaoingia mwaka wa pili kuhusu mikopo. Je, tunaomba mwezi huu wa 4 au mwezi wa 6? Mwaka jana sikupata kabisa mkopo nataka kujaribu mwaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wangwana naomba kufahamu faida na hasara kati ya coz za mining na coz za business and economics na tofauti zake katika suala la kujiajiri au kuajiliwa kama una uzoefu kati ya hizi taaluma hapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajukwaa hali maadili ya sasa katika vyuo vikuu vyetu vya uma na vile vya binafsi inazidi kuwa mbaya huku watoto wa kike wakitembea nusu uchi na kuranda randa katika kumbi za starehe,kwa...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Wednesday, April 10, 2013 Mtaala wa somo la historia haujafutwa Zanzibar! NA MWINYI SADALLAH 10th April 2013 Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema haiwezi kumfukuza Mkurugenzi wa Idara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamiiforums! Hii habari nimeiskia kutoka kwa mmoja wa Head master wa shule moja ya private (Jina kapuni) hapa mkoani Mbeya, Hivyo kutokana na upungufu wa wanafunzi wenye ufahulu wa 4M4 mwaka...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Imezoeleka kuwa UDSM ndio chuo bora kinachotoa wanafunz wenye kiwango cha juu cha taaluma,(mazoea sio sheria) na wanafunzi wa UDSM wote wanaamini hivyo kuwa wao ni bora kuliko vyuo vingne hasa...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Wakuu, Wakati tukisubiri ripoti ya Tume ya Profesa Sifuni Mchome inayochunguza sababu ya wanafunzi wa kidato cha nne mwaka 2012 kufeli sana katika mitihani yao ya kumaliza kidato cha nne, naomba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimetaka Bunge na wazazi kuingilia kati uamuzi wa Serikali wa kukataa kukaa katika meza moja, kuzungumzia nyongeza zamishahara na posho. Chama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwalimu alicha kazi takribani miaka minne na alikatiwa mshahara punde tu alipoacha. Akaomba ajira moevt akapangiwa upya na akaripoti kituo kipya na kupata pesa ya kujikimu. Ikatokea kwenye suala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman naomba kujua eti revised guidebook za tcu ntazipata wapi?naomba kujulishwa.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
jaman naomba kujua jinsi ya kupata guidebook za tcu ntapata wapi tofauti na kudownload?
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Waungwana naomba nifahamisheni kwan nimesikia mengi kuhusu PUGU highschool, je ni moja ya special schools za tz? ..afu kwa PCB vp vigezo kuchukuliwa pale?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeona niiweke hii kwa kuwa kulikuwa na maswali yaliulizwa hapa kuhusu nini hasa maana ya mtaala na madhumuni yake. Na Profesa Hermes Mosha Ukweli wa kuwepo, kutokuwepo mitalaa nchini - Makala...
7 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari! Naitwa Zakaria Gerald nasoma kidato cha sita morogoro ...Binafsi nimefurahia sana hii idea aliyoianzisha aliyekuwa miss mwaka 2004 dada Faraja kwa kuwasaidia wanafunzi wa kitanzania...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…