UCHAFUZI WA MAZINGIRA CHUO CHA SAYANSI NA TECHNOLOGIA NELSON MANDELA
Kwa masikitiko tunapenda kuzungumzia suala la uchafuzi wamazingira unaofanywana Chuo kikuu cha NELSON MANDELA AFRICAN...
najikia amani sana nikikumbuka mtwango sec kutokana na mambo tulioyakuta hatimae kuanza nakuvuka vizingiti nakupata matunda yaliyo bora pale mtwango sec chin ya mkuu wa shule "MH EDWARD MBUNDA"...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo
KWA UFUPI
Kadhalika alisema Serikali imepiga marufuku matumizi ya simu za mikononi kwa sababu baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakizitumia...
Matatizo mbalimbali yanachokikumba chuo kikuu kishiriki, MKWAWA(MUCE),
JAMANI HAYA MATATIZO YATAISHA LINI?
Ndugu wanajamii forum, tatizo la elimu bora kwa kila mtanzania ni Tatizo, kumbe hata...
wakuu mimi naomba mnisaidie kwani kila vyuo ninavyoomba naambiwa niwakilishe matokeo ya mtihani wa TOEFL. je niyapateje?. kuna TOEFL na nyingine kama hiyo.
Me ni kijana nlimaliza form 4 2012 nakupata daraja la 3 natafuta mawasiliano ya shule yaMajengo High School ya Moshi na MARYGOLETH wanajamii naombeni msaada wenu
Habari jf,
Wakuu naombeni msaada wa mtu kama anaweza kuliweka lote hapa nitashukuru kwani muda unaisha,nimejitahidi kufungua ila access ninayotumia haifanikiwi,naombeni msaada,
Nawasilisha.
Wasalaam wana Jamvi.Kama wewe ni muhaya au ulizaliwa katika mkoa wa Kagera au una ndugu yako aliyefanikiwa kujiunga na chuo kikuu mwaka 2012/13 basi hii inakuhusu.Binafsi nimeona ni busara...
mi nimemaliza 4m 4 mwaka jana na kupata div 4 ya 28 artist engl c,math f,hist d,kisw d,civics d,geo d,bio d. Je naweza pata nafasi vyuo vya kilimo/afya.... Au naomba mnitajie kozi zenye ajira ya...
Hayati Baba wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati taifa letu limepata uhuru alisema kwamba ni lazima nchi yetu kupambana na maadui wakubwa watatu yaani UMASKINI, MARADHI na UJINGA...
Hayati Baba wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati taifa letu limepata uhuru alisema kwamba ni lazima nchi yetu kupambana na maadui wakubwa watatu yaani UMASKINI, MARADHI na UJINGA...
Natafuta chuo cha kufundisha Masomo ya IT in Part-Time basis.
Asubuhi mpaka saa saba na nusu mchana
Nipo vizuri Networking, Computer Basics, E-Commerce, Computer Maintainance, Computer...
Salaam,
Wakuu hii taasisi ya NACTE nayo ni moja kati ya majanga ya kitaifa katika elinu yetu..Hawa jamaa wanachangia sana kuua elimu tanzania..ukitaka kuamini hili Waulize NACTE namna mitaala ya...
Wana jf, mimi nilifanya mtian wa kidato cha 6 mwaka 2012 na nataka sasa niombe chuo tcu. TATIZO LANGU NI KWAMBA SIELewi kuusu garama za uombaji. yani adi kukamilisha utaratibu wote kuanzia tcu ad...