Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

salamu zenu wakuu! ndugu zangu, nimeona nisikurupuke just because of having an idea, naanza na wazo leo, but from tomorrow, it will be practicals na lazima nirudishe habari juu ya maendeleo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wadau ambao mnasoma accounting and finance courses!! je mmeona syllabus mpya ya CPA to come into force from November 2013?? Hope it will make the profession more international, me kwa kweli...
2 Reactions
7 Replies
8K Views
vocha za tcu kwa wakazi wa dar zinapatikana nbc matawi yote ya dar isipokua makao yao makuu pale posta na hawatopeleka kabisa vocha hapo makao makuu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf naomba nisaidieni kama selection process ishaanz na ni mwez gan tutegemee kutolewa post za kidato cha tano kwa mwaka huu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hiki ni chimba cha darasa. ndani ya hilo darasa. wanafunzi wakiwa darasani. Hili darasa liko sehemu moja huko muleba kagera. leo nimeushangaa mswada wa mavazi kupelekwa bungeni wakati elimu...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Matokeo yangu form six nina division three ambayo alama zake ni hizi history D,kiswahili S,English F,divinity D,pia nina diploma ya ualimu ambayo matokeo yake ni 2.4 pass,je kwa alama hizo ntaweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijui kama ndio utaratibu wa sasa au vipi, nina takribani miezi 4 toka nimuanzishe shule mtoto mmoja (STD 1). Kila siku anatakiwa apeleke shilingi 300 kama pesa ya tuition. Nilijaribu kuulizia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF. Ninatafuta Mwalimu wa masomo ya Sayansi PCB ambaye atafundisha masomo ya Physcis, Chemistry na Biology kwa kidato cha Tatu na Cha Nne. Mwalimu anatakiwa awe maeneo ya Dodoma Mjini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnijuishe chuo gani mtu anaweza soma course ya cuztomer care kwa njia ya posta au online. Thax.
0 Reactions
1 Replies
924 Views
naomba kujua "the influence of legal aspect in education system case of tanzania"
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Matokeo yangu form six nina division three ambayo alama zake ni hizi history D,kiswahili S,English F,divinity D,pia nina diploma ya ualimu ambayo matokeo yake ni 2.4 pass,je kwa alama hizo ntaweza...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Hi All, Today 8th April, 2013 we are going to have our monthly Mobile Monday Dar es salaam event. This month theme is ICT in Education and speakers will include: 1. Emanuel Feruzi: Lecture...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Hallo wana jf ningeomba kujua ni course gani za computer ambazo natakiwa kusoma ili niwe accountant mzuri, sababu computer tuliyofundishwa hapa chuo ni ya kizushi sana na hamna practicals zozote
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwalimu anayetaka kufanya kazi ya ualimu mikoa ya mwanza, bukoba na kagera kutoka mikoa ya mbeya, ifinga na rukwa tafadhri naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo; 0682291333,0755117828
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwalimu aneyetaka kufanya kazi wilaya ya ngara-kagera kutoka mikoa ya , mbeya, rukwa na iringa tafadhari naomba tuwasiliane kwa 0682971337
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba mnielimishe juu ya hili. Hivi ni kweli nacte wanaitambua center hiyo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ivi ni ipi sababu hasa ya tcu kubadilisha mfumo mzima wa mature age entry kutoka chini ya utawala wa vyuo vikuu hapa nchini na kua chini yake? au kuna udanganyifu uliokua unaendelea vyuoni juu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba wadau mnisaidie kunijuza shule nzuri ya private kwa hapa dar au mikoa ya karibu na dar inayofundisha mchepuo wa cba (a level)
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nahitaji kusoma hizo course za marketing , Je kwa hapa Tanzania ni chuo gani kinafundisha course za CIM (Certified Institute of Marketing)
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…