Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

JUMLA ya wanafunzi 1,605 miongoni mwa 4,604 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu katika Wilaya ya Urambo, mkoani Tabora, wameshindwa kuripoti kwenye shule za sekondari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mbona mimi hii code WD001 for WATER DEVELOPMENT AND MANAGEMENT INSTITUTE ukiapply TCU-CAS inaonekana hakuna kitu kama hiki lakin katika TCU book guide CODE hiyo ipo ktk chuo hicho. Tafadhar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tcu
Jaman naomben msaada wenu kuhusu tcu bookguide ktk code WD001 ambayo ni kwa ajili ya chuo cha maendeleo ya maji (water development and management institute) wakat una apply TCU-CAS inaonekana...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
jamani naombeni mwenye soft copy ya kitabu cha Advanced engineering mathematics mwandishi ni K.A Stroud Natanguliza shukurani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wale wanataka soft copy za DS CHUKUENI HAPA MDHARAU MWIBA MGUU HUOTA TENDE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba mnisaidie na tatizo langu hilo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Scientists stuck their necks out to officially name gigantea. It has been "a very charged issue," says Ellinor Michel, executive secretary of the International Commission of Zoological...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Nina degree ya PSPA [Polytical Science and Public Adminstration]....sasa nataka nisome PGDE ya UDOM,naombeni ushauri wenu wanajamvi
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Polen wlmu, (cwt) inakusanya sh bil2.2 kw mwez kutoka ktk mishahara yenu, na kwa mwaka ni kiasi gani? Cwt haikaguliwi na c.a.g mahesabu yake , wabunge wana shaka juu ya viongozi wa chama...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama wote tunavyojua kwamba matokeo kwa miaka ya karibuni yamekua mabaya sana na kila mtu anataka kujua chanzo lakini nina WAHAKIKISHIA MATOKEO YATA ZIDI KUA MABAAYA ZAIDI kwasababu. 1] Serikali...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
kama kuna mtu yoyote anajua website ya chuo cha TIA au chuo chochote cha uhasibu ambacho kinachukua form na kinatoa certificate siriasi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leeds International Research Scholarships (LIRS)Round 2University of Leeds -Faculty of EngineeringSession 2013/14 Closing Date 17 June 2013 Applications for Leeds International Research...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Walimu walioajiriwa hv karibuni kweli digitali kwn walimu wazoefu enzi za ajira zao mpya walikuwa na haiba ya kutosha kwan kudai serikali kwao ni mwiko hvyo igeni hayo.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba mnisaidie kuikumbusha bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) kutimiza wajibu wake ipasavyo kwa wateja wake(wanafunzi) ambao kihalali iliwaidhinisha kupata mikopo kwa wakati...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
wasaidieni watoto wadogo mapema kwa njia hizi Phonics Song - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hasa kwa wale waliomaliza f6 mwaka huu,nahitaji kitabu cha pure 1 (combined),nitumie text 0763399632 budget gangu ni 15000/=
0 Reactions
2 Replies
2K Views
.........
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kweli adui wa mwalimu ni mwalimu.Hapa Chato maafisa elimu ambao kitaaluma ni walimu ndiyo wanakuwa wa kwanza kuwakandamiza walimu.Ni hivi karibuni maafisa elimu hawa wameagiza tena kwa lazima...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natafta mwalimu (sekondari) wa kubadirishana anayetoka wilaya ya njombe mji au makambako, aje mbeya-rungwe........ kwa mawasiliano zaidi: 0753210877 au 0712765157
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani naomba ushaul,,, kati ya course secretary na tourism ipi inamanufaa na ipo kwenye soko la ajila!!!!tafadhali naomba kujulishwa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…