Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan 10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK
0 Reactions
78 Replies
11K Views
Niombe ushauri kutoka kwa wale waliopitia programs hizo au wenye uelewa wa hivyo vyuo na MPA zao. Nia yangu si-kushindanisha vyuo bali nataka kujua kwa kila chuo naweza kutarajia kupata walimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wana JF,mimi ni mhitimuwa kidato cha 6 mwaka 2012,nahitaji kuomba chuo mwaka huu,nilifungua web ya tcu nikakuta ujumbe usemao aplication kwa wahitimu kuanzia 1988 hadi 2012,imeanza na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waduu naomba kuuliza kama kuna chuo kinatoa Diploma ya ujasirimali. Chuo kiwe Dar es Salaam, na kinachotoa masomo hayo jioni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau kuna huyu dogo alimaliza 2008 div III ya point 22 phy C,chem C,bios C,Math D na English C akaomba clinical officer(diploma)mwaka jana akakosa,ina maana wauguzi wametosha au?
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Ukifuatilia hotuba huru (free style), mahojiano, na michango ya viongozi wetu wengi kwenye mikutano na makongamano ya kimataifa utangundua watu wetu mara nyingi huwa exposed na kuonekana kabisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Ningependa kujua kama Tanga kuna kituo cha kufanya reveiw classes za mitihani ya CPA, kiko wapi na wanachaji kiasi gani? shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman naomba TCU-GUIDEBOOK IKITOKA TUPEANE TAARIFA. Nilifanya mtiani wa form six mwaka 2012. ila hiki kijiji nilipo matatzo yan.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wana jamvi ,,,,,,,mimi nlikuwa nataka kujua kama hiii BSci in informatics ni Tofauti na hizi BSci in Computer Science,au ile INformation Technology,,,,,,,,,(I.T) au BSci Information Communication...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi niko mwaka wa kwanza nasoma MA(ed) nimekwama kabisa sponsorship!Naomba anayejua ninawezaje kupata sponsorship hasa hasa ya TUITION FEES NA RESEARCH anisaidie tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Wanajamvi nimepambana na kufanikiwa kupata Chuo na kuanza masomo tayari katika field yangu hii hii ya Elimu,nimeweza kulipa kwa semester ya kwanza ila naona dalili zote za kusitisha masomo kwa...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Kwa yeyote mwenye mihutasari ya elimu ya Tanzania hususani kwa masomo ya phy na hesabu kwa o'level na a'level katika mfumo wa kidigitali naomba aipost humu ndani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Asili ya mpapai ni Amerika ya Kati. Matunda, majani na utomvu wake hutumiwa kama dawa maeneo mbalimbali ya dunia, matunda na utomvu wake umekuwa ukitumika kutengeneza bombe na waini. Matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hapa nazungumzia kuanzia taaluma za walimu/wahadhiri, tutorial assistants anafundisha/lecture while Masters holder/Assistant Lecturer anafundisha Masters wenzake kwa Mzumbe kuwa Promoted kutoka...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Binafsi ninaishukuru serikali kuanzisha chuo kikuu cha Dodoma. Baada ya pongezi hizo; hoja yangu ni hii, serikali ilianzisha kozi ya DISASTER MANAGEMENT CHUONI UDOM NA VIJANA WANAHITIMU KILA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar wana jf mimi mhitim wa diploma ya mifugo(DAP)2012 Lita madaba songea matokeo distinction,3.5 adv nimesoma PCB nikapata div III.17 nikiwa na principle moja ya bios JE? kwa sifa hizi naweza...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Habari za majukum, wana jf............ natafuta mwalimu (SEKONDARI) wa kutoka halimashauri ya njombe mji au makambako wa kubadirishana nae kituo cha kazi, aje mkoani MBEYA katika wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau?,natumaini pasaka ilikuwa njema,. Pia tumuombe Mungu atuepushe na haya majanga yanayotupata kila wakati. Ok nimekuja kuchota hekima na busara kama ilivyo kawaida yangu kufika hapa JF...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wanajamii naombeni msaada jinsi ya kupunguza kb kwa kutumia adobe photo shop mfano una picha yenye mb 2 kupunguza mpaka ifike kb 3 unafanyaje {but dont change photo quarity}
0 Reactions
0 Replies
1K Views
define the lever. umesahau? basi fungua hapa. mia
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…