Item
Total
Number of schools
864
Number of classrooms
3,930
Number of teachers
7,421
Pupils per school
385
Pupils per classroom
85
Pupils per teacher
45
Hapa nimefuatisha kwa maneno asilimia kubwa alichokizungumza hayati Mwalimu Nyerere katika hotuba aliyoitoa mwaka 1985 mjini Dodoma wakati akifunga Mkutano wa Chama Cha Elimu ya Watu Wazima...
Dear Money,
I Hope you are doing fine. Lately you have been playing hard to get, always hurting me dear. I have been seeing you around in supermarkets, shopping malls...
Jamani wana Jamii Forum naomba kujuzwa hiv kunachuo chochote hapa Tanzania unaweza soma Master Degree kwa Tsh.2,000,000/= Kama Ada? kwa kozi yoyote ile
kama kuna mwalimu wa sekondari unataka kuja dodoma mjini tafadhali niPM, uwe unatoka Morogoro manispaa/mjini, Kibaha au Dar es salaam..
Especially those newly recruited
Mara nyingi yanapotoka matokeo ya kidato cha pili ama cha nne, watu wengi wamekuwa wakilaumu wanafunzi kwamba hawasomi, wanaendekeza uhuni na wanashinda fb. Majuzi yametoka matokeo ya kidato cha...
Heshima zangu kwenu wana body wa Jf.
Naombeni mnijuze kuhusiana na hii course ya Bachelor of Engineering in Marine Engineer Technology kuhusu upatikanaji wa ajira zake, pia kama ni marktable...
Wanajamii kuna maneno yanasikika huku uraiani eti wale waliopata div 4 za 26 na 27 na wana C mbili huenda serikali ikawapeleka advance sababu ya watu waliofaulu ni wachache.eti hili linaendana na...
INASIKITISHA KUONA BAADHI YA WASOMI WANA SIFA HIZI
1.Jukwaa la elim wanabishana kuhusu din.
2.Wapo vyuo hawajal masomo wanabishana kuhus kip chuo bora.
3.Mtu akipost jambo akiwe yeye...
Wakati tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne mwaka 2012 ikiendelea na kazi, imebainika kuwa wanafunzi waliokata rufaa kutaka mitihani yao isahihishwe upya wamefeli zaidi baada ya...
Ukitaka kujiunga na vyuo vya wizara ya lazima ulipie shilingi 15,000/= ambazo hazirudishwi hata kama hautachaguliwa Naishangaa serikali yangu ya ccm ni kwa nini haina utaratibu unaofanana katika...
Ili mtu aweze kutuma maombi ya kujiunga na vyuo vya afya serikali katika ngazi ya cheti na stashahada anatakiwa kulipia sh 15,000/= ambazo hazirudishwi hata kama akikosa.Wakati nchi inakabiliwa na...
vijana waliohamia CCM Kukoka CDM Kuhangaika kuwachafua viongozi wa CDM wana nia ya Dhati kupigania maslahi ya watanzania kwa ujumla wao au ni mwendo wa kutumika kisiasa?