Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ni wiki sasa imetimia tangu TCU watangaze kuanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini lakini mpaka sasa hawajapeleka form zao katika benki ya NBC pamoja na matawi yake ili waombaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wamefungua web yao, inayoruhusu kila mtumiaji wa internet kuchangia. link yao ni hii hapa Maoni Yako lakini naona ni kupoteza muda na pesa, kwani sababu zinajulikna, kila mtu anazijua.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninasikitishwa sana na wanafunzi wa leo katika taasisi za elimu ya juu kutokana na kuharibu taswira iliyokuwepo juu ya mwanafunzi kama balozi wa wananchi ambao hawana taasisi inayosimamia matatizo...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
kama private schools wakiwaruusu wanafunzi wenye DDF kwenye comb zao, kujiunga na form five... 2013 wanaweza wakapata ndapi necta ya form 6... ????
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Wadau wafahamuo juu ya hizi awards, zinatolewa na chuo gani na entry qualifications zake ni zipi
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ninaomba walimu wanisaidie kama kuna website ya CWT maana hiki chama kipo kimya sana,hakifanyi jitihada zozote kuweka mabo yake kisasa.Kimsingi pia nataka kufahamu katiba yao kipengele cha kujitoa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo anadaiwa kutumia ujanja katika wasifu na elimu yake ambapo katika maisha yake ya kielimu ametumia majina manne tofauti. Naibu Waziri wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna Tetesi Tanzania watumishi wa uma na Hata wewe unaesoma uzi Huu inawezekana uliiba cheti chako ukapata kazi,Hasa Waalimu Wengi na Mapolisi Kazi zenu si Halali ni Suala ambalo liko wazi.Je...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
nashangazwa tena sana kwa mfumo wa elimu tanzania kuwatunuku wanafunzi wenye alama 32_33 vyetu na wanaandikiwa "PASSED". unadhani kwa maisha ya sasa wataenda vyuo gani hapa tanzania kama si...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Diwani Wa CCM Dkt Juliana Bujugo ametajwa kuwa ana elimu ya darasa la nne , lakini alianza kwa Kughushi vyeti na kujiita Mwalimu Juliana Bujugo na sasa hivi anajiita Doctor Bujugo. Miaka ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mwaka huu baraza la Mitihani lilitoa utaratibu wa kuripia mitihani kwa njia tatu, ambazo ni Posta, M-Pesa an Selcom. Lakini imeonekana kuna tatizo la mfumo wa malipo. Mimi nilituma ada ya mtihani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa kozi kama ya Bachelor of Engineering in Marine Engineering Technology katika nchi yetu kutokua na kipaumbele ni sawa?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kubeba mimba ni kawaida ila hapa chuo imekua kama fashion sasa,waalimu wanafunzi wanabeba mimba hapa chuo sio mchezo,nauliza hivii mkianza kazi watoto mtafundisha sa ngapi kama masomoni una toto...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Siku zote nimekua nikisikia kuwa waislam wanaonewa,wanahujumiwa, wananyimwa haki zao, wanadhulumiwa sasa kwa hapa tz sijui hata nijieleze vipi kwani mfumo wa maisha na imani zao ndo unaowapeleka...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jumatatu machi 25, 2013, lazima tuionyeshe serikali ya chama cha mapinduzi kuwa imeshindwa kusimamia elimu yetu na sisi kama wananchi hatuko tayari kuona kizazi cha waliokosa elimu bora...
4 Reactions
74 Replies
5K Views
Maswali magumu kwa mulugo, 1.form six alipata ngapi? 2.ana taaluma gani na ya kiwango gani? 3.amesomea chuo gani hiyo taaluma yake? 4.alikuaje h/master akiwa na cheti cha form six tu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
wakuu naombeni mnijuze hivi ukiwa na shahada yeyote na ukaamua kwenda JW hapa inakuaje hususan shahada ya ualimu!!
0 Reactions
1 Replies
960 Views
niko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kwa Bsc in INFORMATICS AND MATHEMATICS, ni semister ya kwanza sasa nimemaliza ila sijajua nikimaliza nitakuwa nani au nitafanya kazi gani!! msinishangae au...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Nina 4 ya 26,physics na maths nina C,mengne yaliobaki ni D
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…