Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

anae elewa jinsi ya kujiunga na open university anisaidie ni chuo kipi na n vigezo gan kuzingatiwa?
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Kuna uwezekano wa kutuchanganya kuhusu matokeo haya. Inafaa serikali iseme wazi kilichotokea tangu uasahihishaji hadi kutoa matokeo. Serikali ikifanya hivyo basi jumuiya itakuwa na mahali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kutokana na mfumo duni wa elimu na ubabaishaji wa mitaala kwa elimu ya tanzania ndio chanzo cha matokeo mabaya. WATAHINIWA 2012 wengi wao wamepata div 0.je serikali ina mpango gani?? Zaid ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo mkowa wa kielimu Shinyanga kwa sasa ila ni Simiyu kiutawala. Kunawanafunzi walichanga tsh 50,000 kwa madai yao ili wafanyiwe mitihani ya form four mwaka 2012. Kilichotokea imepatikana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika harakati za kitaifa za kuokoa elimu yetu ya Tanzania,niko tayari kufundisha BURE masomo ya ziada ya Sekondari kwa kidato cha nne. Mimi si Mwalimu kitaaluma....ni Mwanasheria. Lakini,niko...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanajf; Sitaki kuamini kama hii system ya kuweka wanafunzi barabarani ili msafara wa kiongozi flan apite. Nakumbuka 2009,sikumbuki tarehe,nlikua form 6 pale Minaki chini ya Head master JJ...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Huyu jamaa ambition zake zilikuwa ni kuchukua pcb bt akadunda kwa bahat mbaya,phy-d,chem-c,bios-c,geo-d,kisw-f,maths-d,civ-d,hist-d,engli-d,div 4.26, je huyu m2 ataenda advance,na mnamshauri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zanguni ninatafuta mahali au institution zinazotoa course au training fupi za research sisizozidi mwaka mmoja na zinazofundisha statistical packages za aina mbalimbali (scientific & social...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MIMI NAITWA CLEMENT E.MAGANGA WA S.L.P 170 MASWA,NAFANYA KAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA ILIYOKO KATIKA MKOA WA SIMIYU.NIKO KATIKA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII NINATAFUTA MTU WA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Diwani wa CCM ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu aja na mpango kabambe utakaorahisishia wahitimu wa kidato cha nne waliofeli mtihani wa Taifa 2012 kujiunga vyuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa taarifa ni kwamba shule hizi zitachukua wanafunzi kwa vigezo vifuatavyo PCB <BBB> BADALA YA <BBA> ,PCM <ABB> ,HGL <BCB > BADALA YA <BBB>
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Matokeo kidato cha nne ‘feki’ • Mkurugenzi Green Acres afichua siri nzito WAKATI mjadala wa matokeo mabaya ya kidato cha nne ukiendelea kulitikisa taifa, kashfa mpya ya matokeo hayo...
5 Reactions
125 Replies
16K Views
Dear Sir/ Madam We are looking for well established education consultants to recruit students for MBBS and Engineering in China. We are the sole representatives of Top ranked Government...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
International school Moshi is accepting applications from outstanding Tanzanian students for two full scholarship in our Diploma Programme(forms 5&6).100% of all tuition fee,boarding and exams...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi kama mdau wa Elimu na Mtanzania mwenye uchungu na nchi hii nimesikitishwa sana na matokeo ya mitihani ya Kidato cha nne(F4)mwaka 2012 yaliyotangazwa mwaka huu na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, nimesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari na magazeti kuwa serikali inaangalia uwezekano wa wanafunzi 60% waliofeli warudie mtihani na hata ikiwezekana walipiwe gharama za kurudia, je...
0 Reactions
39 Replies
11K Views
TUSITAFUTE MCHAWI KWA ANGUKO LA ELIMU TZ Wanasiasa uchwara, wanaharakati, na makuadi wa magharibi kwa pamoja wamekuwa wakiendeleza body language za walimu wanaonewa, elimu mbovu,walimu wanahali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iko haja ya kutumia nguvu ya umma pale serikali inaposhindwa kutambua wajibu wake na kuwajibika ipasavyo. Unapokula kiapo cha kulinda maslahi ya Taifa si tena swala la kutoa majibu mepesi kwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nasema hivi kwa kuwa miaka yote ya nyuma ilituwezesha kujuana ktk uwezo wetu darasani na ilikuwa sio rahisi kumubeba mwanafunzi asiye jiweza darasani. Sasa kwa staili hii ya kuandika no pekee...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Serikali imefanya jitihada kubwa ya kuanzisha shule za sekondari za kata nchi nzima ili kuhakikisha kuwa watanzania wengi vijana wanapata fursa ya kusoma ili taifa liwe na wasomi wengi hatimaye...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…