Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habar za asubuh wanajf mi nina D tano tu kwenye haya matikeo yaliyoteka sura za magazeti i.e 4m4 naomben ushauri wenu nawezaje kuendelea kielimu??
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa naomba kuuliza ivi nikweli serikali imetangaza kuwa wanafunzi wote wa kidato cha nne waliopata daraja sifuli mwaka 2012 wanarudia mtihani mwezi novemba?
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Kama watoto wenyewe shuleni ndiyo madudu wanayoyafanya na kuwaza. Hapa hizo dvs zero ni halali kabisa. source...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Jaman nauliza...? watu 2lioappeal loan board mbona majibu me cjayapata mpaka leo hii naombeni msaada wenu:amen:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu amepata 4 ya 29,bioD,kil D,civ F,bookiping D,comarce D,geo D,math F,eng D,hisory F.naombeni msaada wa kimawazo afanyeje?
0 Reactions
1 Replies
695 Views
MIMI NAITWA CLEMENT E.MAGANGA WA S.L.P 170 MASWA,NAFANYA KAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA ILIYOKO KATIKA MKOA WA SIMIYU.NIKO KATIKA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII NINATAFUTA MTU WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wadau, kuhusu matokeo ya mtihani, kuna wachangiaji wanadai eti mitandao ya kijamii imechangia kufeli kwa wanafunzi. Kinyani anakataa kabisa maana ni asilimia ndogo tuu yao wanashiriki, kwani...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar wadau,naomba kufahamu dhana hzi. je ni kweli sisi pembezon,au tumaning'inia ubavuni mwa dunia? kwani hapo awal nilijua tumo ndan ya dunia. Asanteni sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Iwapo wewe ni Mwandishi wa Habari mwenye uzoefu wa Miaka 2 au 3, kuna kozi fupi hapa ambayo utasoma bure! Kozi hii itakupa uwezo mkubwa jinsi ya kuandika masuala ya urahisi wa kufanya biashara...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
kuundwa kwa kamati kwa ajili ya kuchunguza sababu za wanafunzi wengi kufeli ni kama upeo mdogo wa kufikiri na kutoona mbali kwa serikali yetu. Ukweli wa kufeli kwa wanafunzi uko wazi kabisa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna wakati nilikuwa naona matangazo kwenye tv kuhusu kuwepo kwa chuo cha kilimo Dar... Naomba mwenye details za chuo hicho anipe tafadhali...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
ELIMU SHULENI NA KUFELI WANAFUNZI Mitaala ya Elimu ambayo ndio inayounda uendeshaji wa elimu shuleni imezungumzwa sana kipindi hiki. Bahati mbaya wakati hili likiendelea wanafunzi nchi nzima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ELIMU SHULENI NA KUFELI WANAFUNZI Mitaala ya Elimu ambayo ndio inayounda uendeshaji wa elimu shuleni imezungumzwa sana kipindi hiki. Bahati mbaya wakati hili likiendelea wanafunzi nchi nzima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ELIMU SHULENI NA KUFELI KWA WANAFUNZI Mitaala ya Elimu ambayo ndio inayounda uendeshaji wa elimu shuleni imezungumzwa sana kipindi hiki. Bahati mbaya wakati hili likiendelea wanafunzi nchi nzima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habar zenu wakuu nina mdogo wangu aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana ana C nne ya phy chem kisw na eng masomo mengine ana D je ningependa kujua kuna uwezekano kweli akachagulia govt school au...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Kama ningekuwa mwalimu nikatambua kuwa mbunge anaingiza si chini ya milioni 8 kwa mwezi, anamiliki v8 ndani ya miezi mitatu baada ya uchaguzi, anapewa sitting allowance ya laki mbili, anapewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni munisaidie jamani,nina msichana wangu nimemchumbia sasa nataka kumuendeleza kielimu yeye alihitimu kidato cha nne mwaka 2007 matokeo yake ni div 4 ya 27.sasa sijajua nianzie wapi kutafuta...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam wana bodi, kuna binti yangu amepata matokeo yafuatayo, Naomba ushauri je anaweza kupangiwa kwenda wapi. S3933/0003 F 27 IV CIV-D HIST-D GEO-D KISW-C ENGL-D PHY-D...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Metaphysically which one preced {start} between essence and existence? How?
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…