Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa wadau wa elimu, wazazi na wanafunzi waliomaliza form four Yawezekana matokeo ya kidato cha nne yakawa ni yenye kukatisha tamaa na kuhuzunisha lakini maisha siku zote yana fursa nyingi za wewe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wa dau wa jukwaa hili la elimu......nahitaji msaada wa haraka wa kutaka kujua ni chuo gani au taasisi gani inayotoa course mbalimbali zinazohusiana na mambo ya MISITU.......nashukuru...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wadau nipeni ushauri kuna ndugu yetu ni private candidate amepata C tatu, english, kiswahili na civics nikisema aende A level combination inakataa maana kapata F ya history Karibuni
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Naombeni msikilize ujinga wa Clouds Fm, nime tune clouds Fm, nilitegemea kusikia leo watangazaji wangekuwa wakali sana kuhusu kufeli kwa watoto wa kidato cha nne kama walivyokuwa wakali...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Nanukuu kutoka kwenye gazeti ka mwananchi "...MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yametangazwa. Watahiniwa 240,903 sawa na asilimia 60.6 wamepata sifuri, ... Akitangaza...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakubwa shkamoni. Wenzangu za sahizi. Kama Mtanzania ulisha wahi kujiuliza ni kiasi gani cha madeni ya nje nchi yetu inadaiwa.? Kuwa na madeni ni jambo la kawaida ila muhimu tu, ufanye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hebu nishaurini hyu mdogo wangu aende wapi kuresit amesema hawezi sasa nshaurini nmpleke chuo gani hapa bongo
0 Reactions
18 Replies
2K Views
USHAURI ***************** 1-Kutokana na matokeo ya form 4 kuwa mabaya kuliko maelezo,ningependa kuwe na siku ya maombolezo na bendera ipandishwe robo mlingoti 2-Form wote waliofeli warudie...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nani aliyesababisha matokeo yakawa yanaoneshwa kwa namba badala ya majina? Atakayepata nampa zawadi kwenye inbox yake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanaodahiliwa kuingia sekondari 70 percent hamna kitu kichwani.Idea za kina PLATO lazima zifanye kazi.si kila mtoto anastahili CLASSICAL EDUCATION(elimu yadarasani)wengine wangepelekwa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DAR ES SALAM CITY COLLEGE TAWI LA MBEYA CHUO KIMESAJILIWA NA SERIKALI (NACTE) NO.PWF /PWF/025 KINA WATANGAZIA MUHULA MPYA WA MASOMO UTAKAOANZA TAREHE 16.3.2013 USAHILI UTAFANYIKA KUANZIA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kesi inayowakabiri wanafunzi watatu Christopher Mbusule, Wilfred Bocasa na Benny Solo itasikiliywa tena kesho kwenye mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya hakimu Walyarwanda Lema,Mwendesha...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesikia kupitia Clouds FM jioni hii ya kwamba, mkuu wa Wilaya ya Ilemela amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika shule ya sekondari Mt. Zion, iliyopo Wilayani humo, na kushuhudia wanafunzi zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wenzangu wote mliosoma Kigurunyembe Sekondari School, Morogoro. Nina hakika kuna ambao mmeshapata hizi habari za kuwa, baadhi ya wanafunzi waliosoma Kigurunyembe, wako kwenye mchakato...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Naamini kwa mtu makini na mdau wa elimu atakubaliana na mimi kuwa watoto wa kidato cha nne 2000-2012 wanajitahid sana! Km mtaalamu wa masuala ya elimu hupaswi kulinganisha matokeo ya miaka ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi kwa ujumla wenu.... napenda kutoa ahsante zangu za majonzi kwa watu na vitu hivi vya dunia hii maana sasa WATANZANIA na kizazi chetu kimepatikana haswa... 1.Ahasante...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji,Wanetu tufanyeje mana kulaumu haijengi na wengi umri mdogo,na inakatisha tamaa kwa wanaondelea,wazazi tufanyeje ili waliopo mashuleni waepuke tatizo,na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
"zima moto" Serikali inatunga sera za elimu za "zima moto" inazitekeleza ki "zima moto" walimu wanafundisha "zima moto" maana madai yao yanatimizwa ki "zima moto" hawana ari wanafundisha...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
“Matokeo ya mwaka huu yamekuwa mabaya sana, Serikali tunasikitika kutokana na hali hii lakini tuna mipango mbalimbali ya kuhakikisha tunaweza kutatua hili tatizo,” alisema Dk. Kawambwa. Mwisho...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…