Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

40%ya watoto wetu wameoana,taka usitake habari ndo hii,hasa shule za kata madogo wengi wanatumika mapenzi bila ya wazazi kua na habari,na Wengi wana simu,na ni kua wazazi tunawapa na zingine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani ivi ktk muunganiko wa ea africa kuna tathmini zilizowai kufanywa ni nch gani ipo juu kielim? Kama ipo Tz yetu niya ngapi?
0 Reactions
0 Replies
993 Views
hi, members ndugu zangu wanachi wa Tanzania,naomba tujadili hili swala je,tuilaumu serikali ya jamhuri ya Tanzania,shule zenyewe ,walimu wa hizo shule au wanafunzi wenyewe kwani haijawahi tokea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yes,ikilast sana ni wiki moja after this kuna headline mpya.Timing ya kurelease ilikuwa nzuri mana wamjengoni wako busy majimboni! Hivi inakuaje zile shule tulizozoea kufanya vizuri kila wakati...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Naombeni mniwekee matokeo ya shule ya Sekondari NKOKASHU
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habar wakuu! Naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu elimu ya nchin Uganda, Je ninaweza kwenda kusoma Advance Comb ya sayansi mfano CBG? Pia vipi baada ya kumaliza 4m6 itawezekana kuja kusomea vyuo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Matokeo kidato cha nne kuwa mabaya hayakuanza kwa 2012 tu!! Kusema kweli tumetoka mbali na safari yetu hii kwa hawa wadogo zetu na watoto wetu, kwa msaada mkubwa na mitaala yetu ya Nyambari...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
jaman mdogo wng anakesha akilia kutokana na matokeo mabaya aliyopata. Civ F, GEO D ENG D BIO D MATH F HIST D KISW F PHYS F BIO D TUNAHTAJ AKASOME CHETI JE NI COURSE GANI ATAPATA KWA...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
jamani kuna yeyote anayejua matokeo ya mtihani wa QT 2012 yanatoka lini? maana kuna mtoto ananisumbua sana. napata habari mkanganyiko, mara yameshatoka mara hayajatoka, anybody, somebody, help!
0 Reactions
8 Replies
8K Views
wadau naomba tutafute ufumbuzi,maana haya matokeo ni tatizo kubwa.
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Sasa inabidi nianze kuwapongeza watumishi wa serikali wanaofanya madudu katika kazi zao kwa sababu wamekuwa SUGU, hawasiki wala kuona aibu wakilaumiwa au kulalamikiwa kwa utendaji wao mbovu. Leo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wanajamvi katika kila mtu kutoa mawazo yake juu ya matokeo ya kidato cha nne kuwa mabaya nimekutana na twit ya first lady salmakikwete.matokeo ya form four yametokana na yanaashiria kuna sehemu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama jina lako linatumiwa na mojawapo ya shule za sekondari zinazofanya vibaya, ungechukua hatua gani?. Hivi wenye haya majina wanajisikiaje wanapoona matokeo haya?. Jina la Shule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mtumishi waidara flani.ni mwaka wa nne sasa kazini. Nime amua kurisiti mtihani wa kidato cha 4 mwaka huu,nanimesha ripa karo ya mtihani, baada ya matokeo kutoka nduguzangu wana nishauri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa hili sina cha ku comment
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni ukweli usiofichika kuwa siasa za nchi hii zinatupeleka pabaya hasa baada ya kuzizidisha hata kwenye mambo ya msingi na ya kitaaluma. Hivi serikali hii na sera zao za bora shule nyingi...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Ninafikia kipindi unapozungumzia elimu bora, ni vizuri ikaeleweka vizuri kuwa ni pamoja na mfumo bora unaotekelezeka, uwe halisi kulingana na watakao utumia. Ukiwa unamtengenezea mbwa chakula...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 ila sikufanya vizuri kwa kupata divition four ya 30 yani civ-D geo-D his-D eng- kisw-D math-F bio-F ila kutokana na hali ya kimaisha ya familia siku...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…