Nasikitika sana kuona wanafunzi wa form four wanachezea elimu hasa wanapopata nafasi ya kusoma chuoni baada ya matokeo kuwa mabaya.
Kwenda form six sio kwamba Ndio unaakili sana, na pia msidhani...
Nawashangaa hawa wanaodai wamefeli eti kwa sababu ni waislam,hivi kama ulikua unashinda madrasa utafaulu kweli?au ndo mnataka kutuletea udini hadi kwenye elimu tena ambayo haina mtaala?
Wataalamu, kwa muda sasa nimekuwa nikisoma kwenye magazeti yetu wanaandika mitalaa. Kwa ufahamu wangu ninajua kuwa ni mitaala na sio mitalaa, ila kwa jinsi matumizi ya neno mitalaa yanavyoongezeka...
Hiyo ndiyo elimu ya CCM tunayopewa kwa sasa!!Mbatia anataka kutatua tatizo hili,mibunge ya CCM kazi yao ni kupinga hata vitu ambavyo vipo wazi na kwa faida ya wananchi.Source TBC1 saa 4 leo
Ni miezi takribani miwili sasa toka ifanyike mitihani ya CPSP, November 12 mpaka november 16. Kwa kawaida matokeo hupishana na yale ya CPA kwa wiki moja, kama tunavyopishana katika kufanya...
> 2013 World University Ranking
Top 100 Colleges and Universities in Africa by University Web Ranking.
2013 WORLD UNIVERSITY WEB RANKING
Top 100 Universities and Colleges in Africa...
WIKI ya kwanza ya Bunge la 10 lililoanza Januari 29, mwaka 2013 lilitawaliwa na hoja mbili binafsi kuhusu elimu. Hoja ya kwanza ni ile iliyowasilishwa na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu...
mimi ni mwalimu wa sekondari MBEYA wilaya ya Rungwe natafta mtu wa kubadirishana anae toka Mkoa wa NJOMBE.... unaweza ni PM au mawasiliano 0753210877 au 0712765157 or me4tz@yahoo.com
Habari za jioni wanajamii forum! Kutokana na habari zilizo chini ya kapeti ni kuwa ajira mpya za waalimu zimechelewa kutokana na matokeo mitihani ya kidato cha pili na kidato cha nne. Habari hizo...
Nina shida ya kujua ratiba ya UE ya UDOM ilio anza juzi jumatatu (4feb 2013)...nimeingia kwenye website yao naona hawajaweka nakutana na message "website is under maintanance"
Hoja ya Mbatia kuhusu Mitalaa(mitaala kama ilivyozoeleka) ya elimu Tanzania, bila shaka ingefaa igusie pia swala juu ya Website ya Wizara ya Elimu kutokufanya kazi kwa sasa. Kwa akili ya kawaida...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Wadau naomba kuuliza ni sehemu gani nzuri kwenda kufanya field kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza anachukua B.Sc. Electrical Eng. Sehemu unapoweza jifunza basic za mwanzo muhimu katika fani hii ya...
Takribani sasa miezi kadhaa imepita Serikali ilipotoa taarifa ya kuwapangia vituo vya kazi wahitimu wa fani ya Ualimu. nilitegemea wahusika kutochukulia maanani kauli hiyo maana wengi wao...
Habari wadau,ninahitaji kujifunza kuimba sio ( Professionally),kama kuna mtu anajua wapi ntapata pa kujifunza anijuze tafadhali.
Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur