Kusema ukweli mfumo wa elimu ya tanzania bado hipo chini/duni.wanafunzi wanapoanza shule za msingi ufundishwaji wao hauzingati vitendo vya kumwelekeza mjifunzaji.
Tumeishia kukariri na mwishowe...
Uwa najiuliza sana kwanini bongo wasomi wanaongezeka kila kukicha na elimu ilivyo ngumu ya O level na advance level. Kiukweli mtu akipita hizi level kwa kicha chake ni mkali sana. Ila kuna watu...
Matokeo ya kidato cha nne yanatupa presha sana.
Ni kutokana na mabadiliko ya idara ya elimu na mafunzo.kwa wengi wetu tunajua kuanzia tarehe 8 mwaka huu wa 2013 wa pili ndio matokeo yetu kidato...
Nawatakia maandalizi mema ya mitihani ya mwish wa muhula wanasua wenzangu Mungu awe pamoja nasi ili tuweze kuyakumba yale tuliyojifunza kwa ajili ya kujibia mitihani yetu.
Jamani habari!
Kama kuna mdau yeyote aliye karibu na uongozi wa UDSM anisaidie, nahitaji kujua UDSM calendar yao ya mwaka huu unaoanza (new academic year, Je semester one wanafunga lini? na...
Ni scholarship ya South Korea, kwa wanaohitaji Masters au PhD, ni Government Scholarship maan yake serikali ya South Korea italipia kila kitu. Swala uwe unamalizia au umemaliza Undergraduate kwa...
Kwa wale wafuatiliaji mambo ya bunge hivi ni nani ameudanganya umma kuhusu mitaala ya elimu Tanzania?
Mbatia aliyesema nchi haina mitaala na kama ipo apewe ili ajiridhishe? au ni Dk. Kawambwa...
Asilimia 72 ya fedha za ruzuku inayotolewa na serikali kwa ajili ya kuwapatia pesa ya motisha walimu, hazifiki shuleni na kuwafanya walimu hao kukosa ari ya kufundisha.
Kwa mujibu wa taarifa...
Hivi vyuo visivyo sajiliwa kwa nin serikali wanaviacha vinaendesha mafunzo tena kwa fees ya juu sasa cha ajabu ukimaliza ukiomba kazi unaambiwa chuo ulichosoma akitambuliki. Hapo juzi kuna watu...
82% ya wanafunzi nchini Zimbabwe wamefeli mitihani yao na miongoni mwa sababu zilizotajwa kuchangia ni uhaba wa walimu. Inasemekana zaidi ya walimu 35,000 wamekimbia nchini humo kwenda kufanya...
Jaman wadau naomben mnipe mihula ya kufunga na kufungua shule za sekondar 2013 (o_level & A_level) coz mwaka wa jana wizara imewasumbua sana walim,wazaz na wanafunz.
Mnakaribishwa nyote hapa chuoni university of DAR ES SALAAM (MLIMANI) kushuhudia mashindano ya michezo mbalimbali kwa vyuo vya Afrika Mashariki.
Takriban vyuo 38 vitawashiriki na mashindano...
Mtaani kuna tetesi kwamba matokeo ya form four yame release out so kuna ukweli gani juu ya taarifa hizi? Kwani kuna ndugu zangu wana nisumbua sana wana dai
kuwa yametolewa but kila niki gugle no...
Ni kwa wale waliopitia clinical officer, kuna mpango wa kuanzisha bachelor of clinical medicine kwa miaka mitatu ambayo itakuwa tabora na mtwara. Sasa sijui huko watajifunza basic sciences(the...
Nimekuwa nikifatilia mjadala wa bunge tangu kuanza kwake wiki iliyopita, wamejadili na kuuliza mambo mengi kuhusu wizara ya elimu, lakini sijasikia mbunge yeyote akiuliza kuhusu kuajiriwa kwa...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Habari wana jamvi leo naomba kuulizia kama ni kweli Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kimejiandaa kikamilifu kupokea na kuandaa mashindano ya Vyuo Vikuu Afrika Mashariki na Kati , kwani nategemea kua...