mimi nlifanya mtihani wa form six kama private candidate mwaka jana nikafanikiwa kupata division 3 ya point 13 tatizo nilifeli GS nikapata F sasa sielewi kama nikifanya application ya kwenda chuo...
Kwa wale wanaopenda watoto wao kusomea mambo ya anga imeniwia kuomba radhi kwa wanaohusika na hiki chuo kwa matendo wanayoendelea kuwafanyia wanafunzi wao
muhimu kilichonileta hapa ni wale wazazi...
Kwa sasa, Tanzania ina vyuo vikuu vingi; tunamshukuru Mungu kwa hilo. Baadhi ya majukumu makubwa ya vyuo vikuu ni kutoa elimu kwa wanafunzi na kufanya tafiti mbalimbali kwa maendeleo ya taifa...
Ndugu wana JF Utawala wa Awamu ya Nne unakaribia kufikia ukingoni na kama ilivyo kawaida ya awamu zote matukio kadhaa makubwa ya Hujuma hufanyika ili kuficha/kufunika maovu yaliyofanywa ama na...
MIHULA YA HIGH SCHOOL KUBADILIKA TZ.
Wanafunzi ambao wapo Form VI sasa imekubalika kufanya mitihani February(next month) badala ya May 2013) well and good.
Wanafunzi walio Form V sasa eti kuja...
Hi guys,
I have come accross to the website of Nice discussion whereby CPA guys can discuss as per their subjects in the Module. I think it is the useful one. It is called:-
Exhale Tanzania-An...
Leo baadhi ya wanachuo wa vyuo mbalimbali hapa nchini wanaanza mitihani yao ya kumaliza semister, vyuo hivyo ni kama UDSM, UCLAS etc.
Mimi kama mmoja wa wanachuo hao, napenda kuwatakia baraka na...
Wana jamvi kuna kitu ambacho watanzania tunashindwa kutofautisha ntaelezea tofauti hiyo ntaanza na CHUO KIKUU; kwa hapa tanzania tuna chuo kikuu kimoja tu nacho ni chuo kikuu cha dar es salaam...
Hello all; I hope you are all well. I am a student doing a PhD research on tourism in Tanzania funded by the World Bank. My goal is to find out what really affects the preferences of tourist...
Ndg wapenda salam: Kutokana na taarifa nyeti nilizonazo ni kuwa ajira za Waalimu katika ngazi zote, yaani kuanzia ngazi ya cheti, diploma mpk degree leo zitatangazwa mda wowote kuanzia sasa na...
Baada ya Kuzaliwa kwake Yesu Kristo (kifupi: BK) ni namna ya kutaja miaka ambayo imekuwa njia ya kuhesabu miaka inayotumika zaidi duniani. Kila mwaka huhesabiwa kuanzia ule unaodhaniwa kuwa mwaka...
Malisa Godlisten Rais wa Serikali ya WanafunziSAUTSO Chuo kikuu cha St Augustine umetudharirisha mpaka tunaona aibu sasa na vuguvugu la Chadema, tena tuliingia kwa mbwembwe kali kuwa tutakuwa...
Habari za kuaminika kutoka wizara ya Elimu zimedai kuwa walimu hao watatangazwa leo na naibu waziri wa wizara hiyo Bwana Amin Mulugo!
Tembea na uzi huu hadi jioni ww mwl uliyekuwa mtaani kwa...
Mimi niliajiriwa mnamo 2008 Katika shule ya sekondari Matipwili km100 Kutoka Dar na ni Karibu na hifadhi ya saadani.Mnamo mwaka2011 mwezi wa5 nikaomba chuo,Mana kwa Pale Matipwili ilikua zamu...
Wanafunzi walioongoza mtihani wa taifa wa darasa la saba wa mwaka 2012, Janeth Kijazi (kushoto) Justina Kalala (katikati)na Kellen Mudogo wakiwa shule ya sekondari ya wasichana, St Marian...