Imeandikwa tarehe 30 Novemba 2012 na Khatib Suleiman, Zanzibar | HabariLeo
BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar, imeagizwa kuacha mara moja upendeleo wa kutoa mikopo kwa watoto wa vigogo kwani...
wakuu kuna tetesi kuwa zile post za ualimu tayari zipokwenye computer za wizara kuonesha jina la mtu na mkoa atakao kwenda je ni kweli?na zile tetesio kuwa mikoa ya ajira ni saba tu zinauhakika?
Wakati tunafanya registration kwa ajili ya kufanya mitiahani ya board hii tuliambiwa foundation level ni sawa sawa na diploma so once unapomaliza stage hii una kuwa na option either uendelee na...
CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha...
Kwa ufahamu wangu tafsiri ya neno Institute ni taasisi na pia tafsiri ya neno University ni chuo kikuu.
Swali langu ni:Kwa nini Dar es Salaam Institute of Technolgy(DIT).Institute of Accountancy...
Educational Planners and policy makers are obliqued to focus on the relevance of education if they are to plan for sound education system in any country and Tanzania in particular. The followings...
wadau hv mtaala wa hiki chuo ukoje ,na kinaendeshwaje naskia mara watu wana suppliment hadi maudhurio,mara ni kigumu mara hv mara vile tafadhali mwenye taarifa zaidi atujuze
WanaJF habarini.
Kwa yule anaefahamu shule hii ya DIS naomba anipe info kama kweli ni International school, Performance yake, ada na ability ya graduates wa shule hii.
HEBU NISAIDIENI KWANI HAWA WANAOJIITA TAHOSSA WAO SIO WAALIMU? Kwani wengi wao mashuleni hawafundishi, shuleni hufika wanapojisikia, naomba mnisaidie kama wao waliajiriwa kama walimu au kama...
Waziri wa elimu Zanzibar Mh Ali Juma Shamuhuna
Wednesday, November 28, 2012
Na Hassan Hamad OMKR
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imeitupia lawama Wizara ya Elimu ya Jamhuri ya...
kundi la wafunzi takribani 900 waliofukuzwa bagamoyo kurejeshwa januari.
habari zinasema pamoja na kurejea kwao, kamishna wa elimu nchini alivunja mwiko, kupingana na
DC na RC na kujiunga na...
wanachuo wa mwaka wa tatu wa chuo cha mtakatifu Joseph songea wamegoma kufanya mtihani kwa madai ya kukatywa hela zao walizozipata toka bodi ya mikopo ya elimu ya juu. wanafunzi hao wanadai kiasi...
Using'ang'ane kwenda kusoma nje bila kujua kiwango cha ubora elimu katika nchi usika duniani..
EDUCATION TOP 20
Finland
South Korea
Hong Kong
Japan
Singapore
UK
Netherlands
New Zealand...
natafuta shule ya private ya o level kwa ajili ya my niece nataka. shule ya bei rahisi as sina kipato kikubwa,iwe laki 6-8 kwa mwaka,kila shule ninayoulizia ni kuanzia milion na zaidi,shule za...
Wadau naomba kama kuna mtu anafahamu ratiba ya kuanza Kidato cha 5 mwaka 2013 itakuwaje? Nauliza hivyo kwa sababu hivi karibuni Wizara ya Elimu ilitangaza mabadiliko ya mihula ya mitihani kuwa...