Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habar wakuu! Kwa habar niliyopata kutoka kwa mmoja wa wasahihishaji ni kwamba huko necta muda huu hasa huu mwezi wa 11 Wa usahihishaji mitihani kuna uzembe mkubwa sana, hasa wanafuzni wa PC ndio...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
ver 800 students form Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) will not be confered with their degrees this year after they failed to meet academic requirements to graduate. The students...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Kwanza ningeomba mods waibakishe mada yangu kwenye hili jukwaa la siasa maana linaingia kwenye siasa pia. Mwezi uliopita nilitoa maoni jinsi ya kufanya baraza dogo la mawaziri lisizidi mawaziri...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Tujikumbushe jamani tulipotoka enzi za masawe! na hata kwa wale wadogo zetu mnaweza kutuambia yaliyoendelea kujiri, na wakubwa wetu mtuambie waliyojiri pia. Mnakumbuka enzi za kujificha kwenye...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
swali linasema hivi ""can demand create its own supply?"" naombeni jibu wakubwaa
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Essential diagnostic services for public and private health facilities: · A course for clinicians and laboratory staff. TTCIH Ifakara, Tanzania 11-22 February 2013 Wana JF nimekutana na...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
swali linasema hivi ""can demand create its own supply?"" naombeni jibu wa kubwaa
0 Reactions
1 Replies
759 Views
there was a number of student especially from last year who were told to apply again for loan this year bt am wondering if there is any1 who acqure loan this year...!!if there is any pliiz let us...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana -jf. Sote tunajua elimu ndio ufunguo wa uelewa wa mambo mengi katika ulimwengu huu. Na alieyehitimu huitwa msomi au learned person. sasa wasomi wa kada ya uanasheria wao hujiita "my learned...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
mwaka 2009/2010 nilipokuwa first year tulimkuta Mr Kiswaga (ccm) akiwa raisi wa DARUSO ingawa inasemekana alipitishwa na watawala kimizengwe. nilishtuka sana kuambiwa kuwa umma wa wanaudsm...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu udom, cha kushangaza anapewa mkopo toka bodi lakin mpaka sasa anadai wamepewa baadhi! Huu ni unyanyasaji na usumbufu kwa wazazi, why udom si bure kuna tatizo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwenye taarifa ya star tv wamemuonesha mwalimu mmoja wa shule ya msingi ambaye anafanya kazi hiyo baada ya masaa ya kazi. Nimesahau jina na halmashauri yake. Imeniumiza sana kwa kweli, tena...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tufanye nini kumaliza janga hili...Mkopo kwa elimu ya juu unakwisha kabla ya semista kufika katikati??? Mwenye mbinu bunifu? Nini zaidi kifanyike kumaliza janga hili?? Wenye mkopo tu ndo wajibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chanzo cha habari hii ni redio mlimani jijini Dar es salaam. Mkuu wa shule bagamoyo alimdangaya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa pwani. Tatizo ni mgogoro wa kiimani baina ya wanafunzi wakiislam na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika kile na kutoamini ulilolitoa kwenye vyombo vya habari, umeshindwa kutumia busara Mgogoro katika sekondari ya Bagamoyo si kama ulivyoambiwa na kuchukua hatua kutangaza nilichosikia kupitia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Maajabu ya chumvi (kutoka http://maajabuyamaji.net) Stori kuhusu chumvi: Tunapata chumvi nyingi kwenye vyakula vyetu siku hizi. Chumvi nyingi itasababisha shinikizo la...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
discus the mutual relationship btn education and development#
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Leo hii raisi mstaafu,Benjamini Mkapa,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi ktk mahafali ya tatu ya chuo kikuu cha st. Johns hapa Dodoma maeneo ya Kikuyu.Maandaliza yanakwenda vizuri na sherehe inatarajiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wahitimu vyuo vikuu tz mnalielewaje neno ujasiriamali au ajira?
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Wapendwa, nimeisoma hii naona nishare na wenzangu ambao bado wanasoma Chuo hiki. Yaani kwa PhD to have 42 graduates kwa wakati mmoja hata mimi nashangaa. Kumbuka kwamba chuo hiki hata hapa kwetu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…