Great thinkers naombeni mnisaidie jamani.
Nimlimaliza secondari mwaka jana nikapata div 4 ya 26.
English - c
bios - c
math- f
kisw- d
[phys- d
chem- d
geog- d
civ- d
history - d.
Shida yangu...
Kwa uchunguzi mdogo uliofanyika watoto wa maskini hufanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne na sita.Lakini asilimia kubwa hawaendelei na elimu ya chuo kikuu na hii imetokana na kuwa...
1) Every partner acting on behalf of the firm acts as agent for the firm and list for other partners required.
a)Discuss the validity of this statement
Mimi ni mwalimu niliyejiendeleza kutoka ngazi ya certificate hadi hatua ya shahada,
tatizo ni kuwa nimeshinikizwa kuhamia sekondari bila hata kulipwa stahili zangu za uhamisho na kwa upande wa...
Discuss the rules of insanity and clearly explain any exception under the rule. In your answer explain whether If who received a divine order in his sleep to sacrifice his child of five years of...
naombeni msaada kwa wale wanaoijua BBAWITH EDUCATION ya pale st john's universty
pindi unapofika muda wa kuspecialize(semister ya pili mwaka wa2) ambapo kuna electives kama
*human resources...
Mkuu wa chuo cha kiislamu morogoro Hajjat Mwantumu Malale akitoa cheti kwa mwanafunzi bora wa chuo hicho!
Graduates hao!
Swali ni kwamba: hivi siasa inaweza ikasababisha hawa graduates...
Habari zenu wana wa jf...nahitaji kujua mtu mwenye bachelor degree ya NTA level 6 na mtu wenye bachelor degree ya NTA level 8 ni yupi kati yao anaweza kusoma masters kwa haraka zaidi?..au ni sifa...
Greyfade Company Ltd is organizing one week training to equip participants with the skills, knowledge and techniques of designing, developing and maintaining good websites without even being...
Jamani ushauri wenu ni muhimu nachukua bachelor of public administration in records and archieves management ni kozi mpya vp wanajamii ina market tanzania?
"THE PRINCIPAL GOAL OF EDUCATION IN THE SCHOOLS SHOULD BE CREATING BOYS AND GIRLS WHO ARE CAPABLE OF DOING NEW THINGS NOT SIMPLY REPEATING WHAT OTHER GENERATIONS HAVE DONE MEN AND WOMEN WHO ARE...
Habari za alfajiri wana Jf, najitokeza kwenye jukwaa hili kuomba msaada wa kutafsiriwa mail niliyotumiwa na rafiki yangu anayekaa Ujerumani. Naomba aliyetayari kunisaidia aniambie ili nim Pm huo...
Habari wana jamii forum! Nisaidieni hili swali, provide the critical analysis of the free market structures can play an attractive role in the development of neo-colonial african countries by...
Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina...
Uamuzi wa kufunga Shule ya Sekondari ya Kibiti ulitoka na maamuzi ya Bodi ya Shule hiyo katika kikao chao walichofanya Jumatano ya 14/11/2012, na utekelezaji wake kufanyika Alhamisi ya 15/11/2012...
Wanajamvi taarifa nilizonazo ni kuwa wale Wanafunzi wa8 ambao walikuwa wakiwaongooza wanafunzi wenzao wa Kiislamu kumshinikiza Mkuu wa Shule hiyo atoke au ahamishwe leo wamesimamishwa masomo...