Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ukiachana na Lameck Mwigulu Nchemba(FIRST CLASS ECONOMIST) ni kiongozi gani mwingine ambaye amebobea katika uchumi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mhitimu wa UDOM kwa mwaka 2011. Tuliambiwa tulipie Tsh 45,000/= kukiwa na mchanganuo wa Tsh. 25,000/= kwa ajili ya malipo ya majoho na Tsh. 20, 000/= kama dhamana ya Joho, yaani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
+++ AFRIKA KOMMT! Scholarship Programme 2013-2015 +++ Open for Applications +++ Afrika Kommt! (“Africa is Coming”) is an initiative of leading German DAX-listed enterprises and large family-run...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Na Daniel Mjema : moshi: Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lina mpango wa kuanzisha vyuo vikuu vitatu vitakavyokuwa vyuo vikuu vishiriki vya chuo kikuu cha Makumira...
3 Reactions
70 Replies
7K Views
mambo mengine hayafai sana
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Bodi ya shule ya sumve high school imewarudisha nyumbani wanafunzi wote wa kidato cha sita baada ya kugomea adhabu waliyopewa na makamu mkuu wao wakidai wanataka kwanza wasikilizwe matatizo yao
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau, Wale tuliogonga pepa za NBAA leo, poleni sana. Maana kitu cha MA kilisimama sana, na wale wa Module E naona IF ilikua ndefu mno. Masaa matatu yasingetosha kumaliza yale maswali yote...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
ulishawahi fikiria, Kujuana Kulindana Kulipana fadhila Kunapunguza uadilifu na uwajibikaji katika uongozi wa nchi yetu??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana Jf naomba mtazamo wenu kuhusu hii tuzo ya mwalimu bora je inaweza ikapandisha kiwango cha elimu nchini ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanaoenda bash 2kutane hapa
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa nini tofauti ya degree ya kwanza na ya pili? Na kati ya hizi ipi kubwa na ipi ndogo?? Thanx in advance
0 Reactions
17 Replies
7K Views
hivi ni vyuo gani hapa nchini ambavyoo vimetoa watu maarufu,mashuhuli na viongozi wengi serikalini ninavyovifahamu....mimi ni UDSM......prof.ibrahim lipumba.............................world...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Struggle For Smarts? How Eastern And Western Cultures Tackle Learning Struggle For Smarts? How Eastern And Western Cultures Tackle Learning : Shots - Health News : NPR In 1979, when Jim...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Kama kuna member anaweza nisaidia nitawezaje juu ya dar es marine college nataka form, fees ni how much, how many years, kuna hostel ama ni day college, how many units are taught au kama kuna...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
nataka kujiunga na chuo cha misitu anayefahamu, kiko mahali gani, na maelezo kuhusu hicho chuo anijuze. kwa sababu sielewi nianzie wapi, asanteni wana jf.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mm ni kijana wa miaka 22,nimemaliza 4m 6 mwaka huu,ila matokeo co mazur,ila napenda nisomee udaktali.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
MKUU wa Shule sekondari ya Bagamoyo, anadaiwa kupandikiza chuki za kidini huku akiwapachika ‘ugaidi’ wanafunzi Waislamu wanaoswali swala tano. Mkuu huyo anadaiwa kuwaita wanafunzi hao kuwa ni...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo Nlkw Maskani Na Washkaji Zangu Kuna Jamaa M1 Anatafuta kazi basi mkamwambia aniachie CV yake.. Jst In case of anythn Niiwasilishe. Akanipa. Kuicheki Duh nilistaajabu. Jamaa kasoma vyuo viwili...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Jaman kama kuna mtu anaifahamu.BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS.naomba anisaidie ukichukua degree ya hiyo fuculty utafanya kaz gan hapo baadae?na kwa upande wa ajira unaweza kujiajiri au ndo serikal...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wadau naomba msaada nataka kujua figure kamili ya ada pamoja na michango yote mpaka unamaliza master ya environmental technology and management hinayotolewa na ardhi university
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…