Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wana JF Naomba mnijuze kama naweza kusoma degree kwa kutumia matokeo ya certificate, nina second upper class! naomba mnijuze
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajameni kuna kitu cha ajabu kinachoendelea open university of tanzania, wakati graduation ni kesho, mpaka sasa hawajatoa majina ya postgraduate graduands kwenye website yao, kama walivyoahidi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nahitaji watu/mtu wa kufanya naye review/discussion kuanzia tarehe tano ya November . Kama upo tayari na upo Dar naomba uni-pm. Natanguliza shukrani!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu nahitaji mtu mwenye materia or any idea ambayo itaniwezesha kupata materia ya corse ya ECONOMIC DIPLOMACY KAMA MWENYE SOFT COPY ANIRUSHIE KUPITIA EMAIL subira2012@yahoo.com plea no joke
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi naamini hata yule msomaji mzuri wa Riwaya tu ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko watu wasiosoma kabisa vitabu, Naombeni ufafanuzi kwanini Watanzania wamekuwa si wapenzi wa kusoma vitabu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bibi mkazi wa Tunduma ambaye hajawahi soma hata darasa la kwanza,akiwa na wajukuu alisema waafrika wataendelea kupungua miaka ijayo kwa kukosa maada za sayansi ya ugunduzi kwenye mifumo ya elimu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Home Programs Publications Collections Resources Calendar News For Members About SAR Current Resident Scholars Give to SAR Become a...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Kochi University of Technology Outline of Graduate School Master's Program Doctoral Program Admission Special Scholarship Program SSP Research Project List List for SSP...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
IMSE International Master in Service Engineering Skip to content Home Program Overview Application & Admission Career Perspectives Student...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In addition to the foundation's program of support for postdoctoral research, ten or more dissertation fellowships are awarded each year to graduate students who would complete the writing of a...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Member Login Username Password Forgot password? Home About the Scholarship Apply Our...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Education Amandus H. Lundqvist Scholarship Program (formerly known as the TU/e Talent Scholarship Program) Each year a considerable...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The master programmes, lasting one or two academic years, focus on specific problems of developing countries. These are designed to enable graduates to share and apply acquired knowledge in the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatimaye wanachuo wa SUA walamba böoom' duh mwaka wa kwanza ni ful kucheka na ATM machine.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani eeeh kwa ambao hawana loan udom hapafai ni balaa................
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimechaguliwa UDOM mwaka huu nimepewa na mkopo ila coz sijaipenda nimeshafanya na usaili nimelipa na baadh ya fees niliyohitaji kuchangia ila nataka niachane na chuo je mwakani application...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Wadau kwa yeyote mwenye taarifa za mahali pa kuishi kwa wanafunzi wa GRADUATE STUDIES anijuze,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wanajamii Forums , Tafadhari nahitaji kufahamu faida za kufanya mitihani ya TOEFL, wapi hapa Dar naweza pata Tuition zake , vipi gharama zake ,na gharama ku giregister kufanya mitihani hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali inayochochea msongo wa mawazo, walimu tisa wamejikuta wakiishi katika vyumba vitatu vya nyumba moja kutokana na uhaba wa nyumba. Kufuatia hali hiyo, Baraza la Madiwani la Sengerema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mhadhili msaidizi wa chuo kikuu cha Dodoma Mr DEOGRATIUS CAMERIOUS DUZU Amefariki jana tarehe 23/10/2012. Chanzo cha kifo chake hakijafahamika, ila taarifa za awali zinaonyesha marehemu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…