Taarifa nilizozipata masaa machache ni kwamba,
Matokeo ya waloomba wizara ya afya yanabandikwa katika kanda uliyo ombea.
Kuna mshkaji wa Kigoma amesema tayari Katika mkoa wa Kigoma matokeo...
Habari zenu wana JF.Ningependa kuuliza kama kuna yeyote anaye fahamu taasisi ama NGO's ambayo inayohusika na kutoa msaada wa kusomeshwa kwa wanafunzi wa vyuo ambao hawana uwezo
Nachukua nafasi hii kwanza kuwapongeza kwa kuchaguliwa, kufika, kusajiliwa na hatimaye kuanza masomo katika vyuo vikuu mbalimbali Tanzania.
Ni(tu)naomba mtupe mrejesho wa visa, mikasa, usumbufu...
Nimeajiriwa kanisani fresh from school kitengo cha uhasibu nimekuta receipts & payments invoices tu.Hawajawahi kuandaa any final reports wana miradi mbali mbali ikiwemo majengo,magari,mashamba na...
TanzaniaApplications for the 2013 Short Course Award program are now open.
Application forms and all supporting documents should be completed and submitted by 30 November 2012. Applicants...
Naomba kufahamishwa mahali ambapo nitapata hostel za kupanga Mjini Dodoma za bei nafuu.Yeyote mwenye kujua tafadhali ani PM au anibeep 0762838996.Naomba ushirikiano wenu wadau wa JF.
kale ka mtindo kakutupia thread ndefu hadi wana JF tunaboreka...sio mpango,jaribu kufupisha kidogo ili mtu aisome hadi mwisho,tunasoma info nyingi hapa jf sio ya kwako tu ndugu..??
Jamani mm leo napasuka wazi mana nimevumilia sana,ukienda ofisi za tcu hasa chumba no.9 na 13 kuna wahudumu no.9 wa kiume no.13 wa kike,jamani wanajskia na huduma zao ni mbaya tena hawafai kuwepo...
Quota Scheme Scholarship for Bachelors, Masters and PhD degree students from Developing Countries at Universities in Norway 2013
Read more: Quota Scholarships for Developing Countries in...
Mtoto wa kiume mwenye miaka 12 (jina limehifadhiwa) mwenye ulemavu wa kutokusikia na kuongea yaani Hearing Impairment na Speech Impairment ameshindwa kuendelea na shule kwa kukosa shule yenye...
Nauliza kama mtu amesoma degree yake ya kwanza kwa kingereza na kufaulu kuna umuhimu gani wa kuambatanisha cheti cha English language proficiency pindi unapokuwa unaomba scholarship nchi za nje?
Tanzania Applications for the 2014 Masters Awards are now open.
Application forms and all supporting documents should be completed and submitted by 14 December 2012...
UNIL Master's grants To facilitate access to Masters degrees by students with qualifications from foreign universities, the University of Lausanne makes available around ten Masters...
What do IRO scholarships include? The scholarships are only granted for doctoral or pre-doctoral programmes. Scholarships for a pre-doctoral programme are awarded for only one year. The...