amani mbona kila ninapofungua account ya helsb ilikua apeal ina nambia the index number does not exist kuna yeyote mwenye tatizo kama hili na ufumbuzi wake jamani
jamani wadau ninapenda kuuliza mtihani wa form 6 kwa form six wa mwaka huu unafantika lini kwa sababu haielewek nilin hasa utafanyika kwa aliye na taarifa rasmi tupia haapa...
Elimu yetu inachezewa na wengi wakiwemo wakuu wa shule
Hawa wamejisahau sana
1wengi wao elimu zao ndogo kuliko walimu wanaowaongoza tatizo linaanzia hapo kwani ukipinga chochote ni dharau
2...
Vijana wote wa kidato cha nne mnaoanza mitihani yenu ya taifa kesho Mungu awatangulie mkafanye kama itakavyompendeza ili kila mmoja wenu akavune kwa kadiri ya alivyopanda.
Kwanza nawasalimu wanajamii wote! Naombeni mnifahamishe system ya kupata malazi nje ya chuo ikiwa utakosa h0stel maana mda umekaribia, msaada tafadhali waungwana.
Vijana wengi wanapopata nafasi za kujiunga na vyuo huwa wanafurahi saana na kuona kuwa wamepiga hatua kubwa saana na pia huwa hawashauriki wakiamini wameshafika mahali ambapo wanaweza kujiamulia...
Naomba mnisaidie nimejaribu kuwapigia cm zao za mezani hawapokei kwenye website yao wamesema mwisho kulipa ada na michango ni tarehe 30 nikilipa kwa sasa watanigomea
1. Tutorial Assistant (TA)-Huyu niyule Mhadhiri wa chini kabisa ambaye yeye ana Shahada ya Awali tu kwenye fani yake.
2. Assistant Lecturer ( AL)-Huyu ana Shahada ya Uzamili(Masters) katika fani...
Mimi mwaka 2011/2012 ckujiunga na masomo kwasababu ckupata mkopo lakin chaajabu na kusitisha mwaka huu niliambia previes loanee kwenda board naambia nadaiwa 2471250/= nauliza naambiwa hela...
Kuna upungufu wa madawati 1,836,402. Hii ni sawa na asilimia 49.1 ya mahitaji. Kwa maneno mengine karibu nusu ya watoto wetu katika shule hizo za msingi wanakaa chini kama si kukaa watoto wanne...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo amesema kufeli kwa baadhi ya wanafunzi hakutokani na walimu kutokamilisha mitaala bali kutokana na uzembe wa wanafunzi wenyewe, waziri...
Changamkieni utiaji saini ktk accomodation & meals allowances kwani chuo kimetoa muda wa siku 2 kuanzia 2/10/2012 hadi 4/10/2012. Kumbuka self control on money expenditure.