The heslb has official anounced the dead line for apealing and plainly clarified who should apeal. I Hereby advice the prospectives to closeread here.
APPEAL NOTICE
As it was published earlier in...
walimu ambao wanafika jiji kudai madai kama ,pesa ya uhamisho/mapunjo mbalimbali na mengine yanayo fanana na hayo wamekuwa wakisumbuliuwakweli. kikwazo kikubgwa ni wafanyakazi wa pale masijala...
Wana-JF,
Hii habari hapa chini nimetumiwa na jamaa yangu ambaye ni member wa UDSM. Ebu jisomee mwenyewe, kumbe ile habari iliyoletwa hapa JF na mwenye ID VUTA-NIKUVUTE ni kweli tupu, kwani wengi...
Wadau na wapenda masuala ya kielimu, kuanzia mwaka ujao kutakuwa na mabadiliko ya ufanyaji mitihani kwa wanafunzi wa vidato tajwa. Kidato cha Nne watakuwa wakifanya mitihani ya taifa kila ifikapo...
Wakuu, mimi ni mwalimu wa leseni tangu mwaka 2006, sasa nimehitimu Higher Diploma ya IT hivi karibuni. Nimerudi kuendelea kufundisha kwenye shule niliyo kuwa nimepangiwa kufundisha. Sasa kwa kuwa...
serikali sasa lazma iweke mikakati ya makusudi ili kuhakikisha somo la hisabati lina taftiwa usfumbuzi,
wanafunzi wana lalamika kuwa somo eti ni gumu,mi nazan sekari kupitia wizara hucka watafte...
wanajamvi nimepata mkopo na loan batch za ifm zinasema tution fee watanilipia 700000 swali langu je mimi nitalipa 800000 iliyobaki au nitalipa kulingana na joining instruction inavyosema yaani 60%...
Wakuu, nawaomba yoyote ambaye amepata chumba main campus UDSM (for Boys), aniPM nipo tayari kununua chumba kwake au kukaa naye pamoja.
Nilipata chumba Ardhi Univ, ila naona ni mbali na Campus...
kwa wale mnaoifahamu.....shule ya secondary ya biafra ilioko kinondoni.......kwa sasa sio tena shule.....secondary bali imekuwa tawi la open university na majengo yake yote yamepakwa rangi za open...
Tanzania zaidi ya uijuavyo!hatimaye shule ya sekondari ya tarakea day imeingiwa na bundi wa aina yake ambapo mkuu wa shule hiyo mwl Kija amehamua kuwafukuza walimu wa kike ili marafiki zake wa...
kama kuna mtu yeyote ameshawahi omba mkopo na akapata naomba nijue, coz hapa mjin wajanja wengi mdogo wangu aliomba mkopo mwaka jana serikalini hakupata now anataka a jaribu ktk h NGOS hyo...
Poleni sana kwa uvumilivu 2nd year mlo kosa miko mwaka jana na bado mwaka huu your fate is not known! Being among the victims leo nimejaribu kumwona loan officer wa SUA hapa mjengoni ilikupata...
Tukiachana na suala la kuweka miguu ndani ya maji,nadhani kuna njia nyingine nyingi ambazo watu hutumia. Huwa kwa kawaida kuna uvivu huwa unatokea kabla ya kushika daftari. Tusaidianeni jamani
Wakuu
Nasikia Shule ya Neema Trust ni ya Mama Mlaki na Kuwa mara baada ya kutupwa nje ya serikali shule hiyo imemshinda na sasa imefungwa je habari hizi ni za kweli. Nimeona kijana mmoja...
Habari wanajamii naombeni msaada wenu katika hili je ni kwanini watahiniwa wa kujitegemea(private candidate) wanafeli sana au kuna upendeleo katika kusahisha na je maksi zao zinatofautiana vp na...