1.kusoma huku umeweka miguu kwenye ndoo ya maji
2.kulala na godoro darasani..........
3.kuimba nyimbo........za kukkremishaaaaaaaa
4.kulala na madaftari darasani.....
5.kuzuzurura usiku na...
Nimepita katika pita pita zangu nimekuta watoto wanaosadikiwa kuwa ni watahiniwa wa mwaka huu wakipata viboko katika shule moja iko maeneo ya Kihonda magorofani kama mchezo wa kuigiza Je...
Kama kuna mdau anaeish au kusoma St.Johns,nahitaji chumba hata ikiwa mbali kidogo na chuo....naanza safari kesho nikitarajia kufika keshokutwa j2......plz nicheki kwa 0787309945!!!!
Habari zenu ndugu zangu wana JF. Nilikaa kimya sana mdodosaji ila naamini ya kwamba kimya kingi kina mshindo mkuu. Jana nilikuwa ndani ya ofisi ya HESLB kuendelea kudodosa kulikoni sisi wa loan...
UMM ni ugonjwa wenye maambukizi makubwa unaowapata ngombe, nguruwe, kondoo, mbuzi na nyati na ni ugonjwa mgumu sana kukabiliana nao. Kwa ujumla ni ugonjwa unawapata wanyama wote wenye kwato...
Many students can't wait to be done with school, but not Michael Nicholson. The 71-year-old Michigan man has earned 29 college degrees and is now pursuing his 30th:
Mr Michael...
nimepitia website yao wamejieleza vizuri sana ila sitaki kukurupuka nataka kufahamu kwanza kama kuna mtu yoyote humu aliewahi kupata mkopo kupitia kwa hawa jamaa ili kidogo anipe data kadhaa...
Mimi ni mwalimu na pia ni mwanachama wa chama hiki cha walimu Tanzania. Kwa ujumla hiki chama (CWT) hakipo kwa ajili ya manufaa ya walimu bali kwa manufaa ya mwajiri. Nasema hivi kwasababu walimu...
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi hii kuingiza siasa hata katika maeneo ambayo siasa haitakiwi kabisa. Hivi sasa ni kawida kukuta taaluma ya utabibu,kilimo na hata elimu ikiendeshwa kisiasa...
Allocation yenu hii hapa!!! http://www.suanet.ac.tz/docs/loan allocation 1st batch.pdf. Hata hivyo nawashauri wale mlo kosa hasa wale wa 2nd year mlo kosa mwaka jana na majina yenu hayaja apear...
We studied in history about world wars the first and the second,but those causes we learnt were not the real major causes of that wars,all the first,second and the third which is soon going to...